Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,329
Jaji werema anachangia hoja ya wizara ya mambo ya ndani. Anachofanya ni kuzungumzia hotuba ya mhe g lema aliyoitoa jana. Je amegeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani? Yupo live anaongea sasa.
Kweli Chadema mna kazi kubwa. Mimi nafikiri mtoa mada ulitakiwa ujue NINI KAZI YA MWANASHERIA MKUU PALE BUNGENI? nafikiri unajuwa wazi kuwa yeye si mbunge, jiulize ana kazi gani pale mjengoni?