PostGE2025 Jaji Warioba: Imekuwa kawaida Jaji Mkuu na Spika kuhudhuria vikao vya Rais. Ni kama utaratibu wa kidikteta kuwaona wanakuwa washauri wa Rais

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea?

Anasema walitoa mapendekezo mazuri kuhakikisha mihimili hiyo inakuwa huru, lakini mengi hayajatekelezwa japokuwa yalipokelewa na kukubalika.

Nachoka mimi shemeji wa Mwandambo!

======

Katika mahojiano na kituo cha Jamhuri, Jaji Mstaafu Warioba anasema walitoa mapendekezo kwenye mgawanyo wa madaraka kati ya serikali bunge na mahakama, ikionekana Bunge na Mahakama havikuwa imara, ili viimarishwe na kufanya kazi kwa kujitegemea.

Kwenye Bunge, wakasema kwakuwa tuna "Presidential System", mawaziri wasiwe kwenye Bunge, bunge lijisimamie (independent), Mawaziri Rais atatetua, ili tutenganishe serikali na bunge.

Mahakama pia walisema ipewe uhuru, ikiwemo kuwa na mahakama ya juu zaidi na pamoja na uhuru wa kifedha, ambapo kwa bunge imefanyika lakini kwa mahakama bado wanategemea hazina - mapendekezo hayo yalikubalika lakini hayajatekelezwa.

Sasa hivi Imekuwa kawaida na ni nchi pekee kwamba Jaji Mkuu na Spika wanahudhuria vikao vya Rais. Yaani inaonekana Bunge na Mahakama ni sehemu ya Executive. Tumesema hii kwamba sio vizuri, ni kama utaratibu wa Dictatorship kuona Spika na Jaji Mkuu wanakuwa washauri wa Rais.

Anasema, wananchi wakiwaona , wakiwa wanahudhuria vikao vya Rais, hawataamini kwamba wanapata maagizo kutoka kwa Rais, watakuwa wanazunguma! Hili linaendelea mpaka sasa. Ukiona Spika anakwenda kwenye kikao cha Rais, anazungumza pale wabunge wale watafuta.
 
Mahakama pia walisema ipewe uhuru, ikiwemo kuwa na mahakama ya juu zaidi na pamoja na uhuru wa kifedha, ambapo kwa bunge imefanyika lakini kwa mahakama bado wanategemea hazina - mapendekezo hayo yalikubalika lakini hayajatekelezwa

Sasa hivi Imekuwa kawaida na ni nchi pekee kwamba Jaji Mkuu na Spika wanahudhuria vikao vya Rais. Yaani inaonekana Bunge na Mahakama ni sehemu ya Executive. Tumesema hii kwamba sio vizuri, ni kama utaratibu wa Dictatorship kuona Spika na Jaji Mkuu wanakuwa washauri wa Rais.

Anasema, wananchi wakiwaona , wakiwa wanahudhuria vikao vya Rais, hawataamini kwamba wanapata maagizo kutoka kwa Rais, watakuwa wanazunguma! Hili linaendelea mpaka sasa. Ukiona Spika anakwenda kwenye kikao cha Rais, anazungumza pale wabunge wale watafuta.
Mzee amecut the chase
 
Anasema walitoa mapendekezo mazuri kuhakikisha mihimili hiyo inakuwa huru, lakini mengi hayajatekelezwa japokuwa yalipokelewa na kukubalika.
UTAMADUNI MBAYA WA CCM KUHODI MADARAKA KUPITIA RAIS / MWENYEKITI WAO WA CHAMA DOLA

Sababu kubwa ni mhimili wa executive *serikali kuu mizizi yake kuingia katika kuzuia majadiliano huru katika mhimili wa Bunge na mhimili wa Mahakama bila kusahu mhimili wa 4 Vyombo vya habari kutekwa nyara na walio madarakani.

Unasikia kuwa makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA kuhamishiwa Dodoma. Shirika la Reli Tanzania TRC ilitakiwa makao yake makuu, karakana n.k yawe Tabora katika kitovu cha muunganiko wa vipande vya reli kuelekea Kigoma Rwanda, DR Congo, Mwanza na DSm.
Mji wa Mbeya ukitakiwa iwe makao makuu ya TAZARA ili kuwa karibu na Zambia na Lubumbashi DRC kufukuzia fursa kwa ukaribu. Iringa ingekuwa TANROADS makao yao. Bukoba vyuo vikuu vyote vingejichimbia huko kwa maprofesa n.k

Kuachana na kila kitu kwenda Dodoma kwa matamko ya wanasiasa, hili pia inabidi kuzingatiwa :

KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI

Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge / parliament / National assembly ili mhimili huu uendelee kuwa huru.

Dar es Salaam iwe makao makuu ya serikali ya Muungano wa Tanzania ili muhimili wa dola usiote tena mizizi mpaka ndani ya mhimili wa Bunge kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano Bunge kumezwa na mhimili wa dola.

Mji wa Arusha uwe makao makuu ya mhimili wa Mahakama Kuu ili jaji mkuu na mahakama ya rufani wabaki huko mbali siyo kila siku wanahudhuria hafla za wafanyakazi wa serikali kuu na mikoa wakiapishwa na kwa namna hii ya mgawanyo wa mihimili, Mahakama iwe huru toka minyororo na jinamizi lililoundwa ktk awamu ya tano. Arusha ni makao ya korti ya Afrika Arusha | Search Results | African Court on Human and Peoples' Rights , EACJ www.eacj.org , UN Korti za masuala ya maovu dhidi ya binadamu International Residual Mechanism for Criminal Tribunals May Conclude Most Cases by May 2021, Its President Tells Security Council | Meetings Coverage and Press Releases hivyo Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Judiciary of Tanzania | Home watakuwa wanabadilisha mawazo na wasomi wenziwe kuhusu namna bora ya Mahakama za Tanzania kujiendesha kwa uhuru na kumaliza mrundikano wa kesi kwa kuwa kila siku wanahudhuria hafla zote za mhimili wa serikali .

The Many Capitals of South Africa​

South Africa's three capital cities are strategically placed throughout the country, each hosting a separate segment of the nation's government. When asked about a single capital, most people would point to Pretoria.

  • Pretoria is the administrative capital. It is home to the executive branch of the South African government, including the President of the Cabinet. The city also hosts many departments of government and foreign embassies.
  • Located in the province of Gauteng, Pretoria is in the northeast part of South Africa and near the city of Johannesburg.
  • Cape Town is the legislative capital. It is home to the country's legislative parliament, including the National Assembly and National Council of Provinces.
  • Located in the southwest corner of South Africa in the province of Western Cape, Cape Town is the second-largest city in population.
  • Bloemfontein is considered the judicial capital. It is home to the Supreme Court of Appeal, the second-highest court in South Africa. The Constitutional Court (the highest court) is located in Johannesburg.
  • Located in the province of Free State, Bloemfontein is in the center of South Africa.
 
Wakuu,

Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea?

Anasema walitoa mapendekezo mazuri kuhakikisha mihimili hiyo inakuwa huru, lakini mengi hayajatekelezwa japokuwa yalipokelewa na kukubalika.

Nachoka mimi shemeji wa Mwandambo!

======

Katika mahojiano na kituo cha Jamhuri, Jaji Mstaafu Warioba anasema walitoa mapendekezo kwenye mgawanyo wa madaraka kati ya serikali bunge na mahakama, ikionekana Bunge na Mahakama havikuwa imara, ili viimarishwe na kufanya kazi kwa kujitegemea.

Kwenye Bunge, wakasema kwakuwa tuna "Presidential System", mawaziri wasiwe kwenye Bunge, bunge lijisimamie (independent), Mawaziri Rais atatetua, ili tutenganishe serikali na bunge.

Mahakama pia walisema ipewe uhuru, ikiwemo kuwa na mahakama ya juu zaidi na pamoja na uhuru wa kifedha, ambapo kwa bunge imefanyika lakini kwa mahakama bado wanategemea hazina - mapendekezo hayo yalikubalika lakini hayajatekelezwa.

Sasa hivi Imekuwa kawaida na ni nchi pekee kwamba Jaji Mkuu na Spika wanahudhuria vikao vya Rais. Yaani inaonekana Bunge na Mahakama ni sehemu ya Executive. Tumesema hii kwamba sio vizuri, ni kama utaratibu wa Dictatorship kuona Spika na Jaji Mkuu wanakuwa washauri wa Rais.

Anasema, wananchi wakiwaona , wakiwa wanahudhuria vikao vya Rais, hawataamini kwamba wanapata maagizo kutoka kwa Rais, watakuwa wanazunguma! Hili linaendelea mpaka sasa. Ukiona Spika anakwenda kwenye kikao cha Rais, anazungumza pale wabunge wale watafuta.

23 December 2025
JAJI WARIOBA akizungumza na mwandishi wa habari JACTON MANYERERE wa Jamhuri Digital

View: https://m.youtube.com/watch?v=4Gki2HMyJsM
 
Je ipi hatima ya wale waliokula hela za mabeberu ili kuhamasisha Vurugu baada ya mipango yao kukwama na watanzania kuwapuuza ?.
 
Wakuu,

Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea?

Anasema walitoa mapendekezo mazuri kuhakikisha mihimili hiyo inakuwa huru, lakini mengi hayajatekelezwa japokuwa yalipokelewa na kukubalika.

Nachoka mimi shemeji wa Mwandambo!

======

Katika mahojiano na kituo cha Jamhuri, Jaji Mstaafu Warioba anasema walitoa mapendekezo kwenye mgawanyo wa madaraka kati ya serikali bunge na mahakama, ikionekana Bunge na Mahakama havikuwa imara, ili viimarishwe na kufanya kazi kwa kujitegemea.

Kwenye Bunge, wakasema kwakuwa tuna "Presidential System", mawaziri wasiwe kwenye Bunge, bunge lijisimamie (independent), Mawaziri Rais atatetua, ili tutenganishe serikali na bunge.

Mahakama pia walisema ipewe uhuru, ikiwemo kuwa na mahakama ya juu zaidi na pamoja na uhuru wa kifedha, ambapo kwa bunge imefanyika lakini kwa mahakama bado wanategemea hazina - mapendekezo hayo yalikubalika lakini hayajatekelezwa.

Sasa hivi Imekuwa kawaida na ni nchi pekee kwamba Jaji Mkuu na Spika wanahudhuria vikao vya Rais. Yaani inaonekana Bunge na Mahakama ni sehemu ya Executive. Tumesema hii kwamba sio vizuri, ni kama utaratibu wa Dictatorship kuona Spika na Jaji Mkuu wanakuwa washauri wa Rais.

Anasema, wananchi wakiwaona , wakiwa wanahudhuria vikao vya Rais, hawataamini kwamba wanapata maagizo kutoka kwa Rais, watakuwa wanazunguma! Hili linaendelea mpaka sasa. Ukiona Spika anakwenda kwenye kikao cha Rais, anazungumza pale wabunge wale watafuta.
Haya matatizo Wazee wanajua ni mfumo walio utengeneza na kuacha, wasitake kuonekana wema

1766597644651.png
 
UTAMADUNI MBAYA WA CCM KUHODI MADARAKA KUPITIA RAIS / MWENYEKITI WAO WA CHAMA DOLA

Sababu kubwa ni mhimili wa executive *serikali kuu mizizi yake kuingia katika kuzuia majadiliano huru katika mhimili wa Bunge na mhimili wa Mahakama bila kusahu mhimili wa 4 Vyombo vya habari kutekwa nyara na walio madarakani.

Unasikia kuwa makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA kuhamishiwa Dodoma. Shirika la Reli Tanzania TRC ilitakiwa makao yake makuu, karakana n.k yawe Tabora katika kitovu cha muunganiko wa vipande vya reli kuelekea Kigoma Rwanda, DR Congo, Mwanza na DSm.
Mji wa Mbeya ukitakiwa iwe makao makuu ya TAZARA ili kuwa karibu na Zambia na Lubumbashi DRC kufukuzia fursa kwa ukaribu. Iringa ingekuwa TANROADS makao yao. Bukoba vyuo vikuu vyote vingejichimbia huko kwa maprofesa n.k

Kuachana na kila kitu kwenda Dodoma kwa matamko ya wanasiasa, hili pia inabidi kuzingatiwa :

KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI

Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge / parliament / National assembly ili mhimili huu uendelee kuwa huru.

Dar es Salaam iwe makao makuu ya serikali ya Muungano wa Tanzania ili muhimili wa dola usiote tena mizizi mpaka ndani ya mhimili wa Bunge kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano Bunge kumezwa na mhimili wa dola.

Mji wa Arusha uwe makao makuu ya mhimili wa Mahakama Kuu ili jaji mkuu na mahakama ya rufani wabaki huko mbali siyo kila siku wanahudhuria hafla za wafanyakazi wa serikali kuu na mikoa wakiapishwa na kwa namna hii ya mgawanyo wa mihimili, Mahakama iwe huru toka minyororo na jinamizi lililoundwa ktk awamu ya tano. Arusha ni makao ya korti ya Afrika Arusha | Search Results | African Court on Human and Peoples' Rights , EACJ www.eacj.org , UN Korti za masuala ya maovu dhidi ya binadamu International Residual Mechanism for Criminal Tribunals May Conclude Most Cases by May 2021, Its President Tells Security Council | Meetings Coverage and Press Releases hivyo Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Judiciary of Tanzania | Home watakuwa wanabadilisha mawazo na wasomi wenziwe kuhusu namna bora ya Mahakama za Tanzania kujiendesha kwa uhuru na kumaliza mrundikano wa kesi kwa kuwa kila siku wanahudhuria hafla zote za mhimili wa serikali .

The Many Capitals of South Africa​

South Africa's three capital cities are strategically placed throughout the country, each hosting a separate segment of the nation's government. When asked about a single capital, most people would point to Pretoria.

  • Pretoria is the administrative capital. It is home to the executive branch of the South African government, including the President of the Cabinet. The city also hosts many departments of government and foreign embassies.
  • Located in the province of Gauteng, Pretoria is in the northeast part of South Africa and near the city of Johannesburg.
  • Cape Town is the legislative capital. It is home to the country's legislative parliament, including the National Assembly and National Council of Provinces.
  • Located in the southwest corner of South Africa in the province of Western Cape, Cape Town is the second-largest city in population.
  • Bloemfontein is considered the judicial capital. It is home to the Supreme Court of Appeal, the second-highest court in South Africa. The Constitutional Court (the highest court) is located in Johannesburg.
  • Located in the province of Free State, Bloemfontein is in the center of South Africa.
Ulivyoanza analysis hapo hapo nikawazia SA na intelligently umeitumia kuwa mfano, tawire.
 
Hakuna kilichosahihi hapo. usiwe kama ndio mzee. Sikia! Ikiwa kama Jaji mkuu anachaguliwa na Rais, na hata Spika hupendekezwa na Rais na akigombana na Rais hana kiti. Huwezi hata siku moja katika mfumo kama huo Jaji mkuu au Spika eti waswe washauri wa Rais.
Watu pamoja na Warioba hawakumuelewa Nyerere aliposema kuwa Katiba ya TZ kwa jinsi ilivyosukwa, ikimpata Rais DIKTETA, ataweza kutekeleza udikteta kisheria (kwa muujibu wa katiba).
Kwa hiyo tatizo sio bunge la sasa bali ni mfumo mzima tulio nao toka UHURU, ambao yeye mwenyewe Warioba ni muhasisi wa mfumo huo. Atadanganya wajinga tu, kwani yeye mwenyewe alikuwa mfaidika wa mfumo huo na hakusema kitu akiwa madarakani.
 
Tusubirie majibu ya masheikh sasa badala ya serikali
 
Kwahiyo Warioba akalie kimya mfumo wenye matokea hasi kisa alikuwa mfaidika zamani?
 
Tungepata mtu mmoja pale juu mwenye uzalendo kwa nchi kuliko chama..hii nchi ingekua kama Ulaya tu.
 
Back
Top Bottom