Na Siku zingine huyu huyu Jaji Mzee Warioba akiwasema au akiwashutumu Wapinzani nchini usiache pia kuja na Uzi hapa wa Kumshukuru mno tu.
Yaani nyiye maCCM mnategemea kuwa mfanye uharamia wa kupora kura, halafu mtegemee tukae kimya?Uchaguzi umekwisha,fanyeni kazi
Kwani hapa kawasema nani huyu kasema kasoro sio kumsema mtu acha utopolo weweNa Siku zingine huyu huyu Jaji Mzee Warioba akiwasema au akiwashutumu Wapinzani nchini usiache pia kuja na Uzi hapa wa Kumshukuru mno tu.
It's very trueHuyo mzee ameamua kubaki na heshima yake mpaka kufa. Wengine wamepotoka
haya maneno hunenwa na watu ambao hawakupata malezi ya wazazi, yaani uilokotwa jalalani au ulizaliwa ukiwa umetanguliza miguu!Bahati yake Makonda sio kiongozi kwa sasa.
Kwa uharamia ule kukaa kimya ni usaliti ktk haki!Uchaguzi umekwisha, fanyeni kazi
Kuna Comred Magoti huyo ni noma,kama unewahi kusoma riwaya za James Hadley Chase, unaweza kumlinganisha na character mmoja anaitwa Vitto Ferrari, huyo akikukosa basi Israili malaika mtoa roho anasubiri.Bahati yake Makonda sio kiongozi kwa sasa.