Jaji Warioba, ame-fit viatu vya mzee Mandela

Jaji Warioba, ame-fit viatu vya mzee Mandela

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,797
Reaction score
165,543
Katika umri mkubwa,Jaji Warioba, anapigania moni ya wananchi kama ilivyokuwa kwa mzee Mandela, ambae nae aliendelea kupinga utawala wa kibaguzi wa makaburu hata katika umri mkubwa aliokuwa nao.

Misukosuko alioipata Mandela ilikuwa mikubwa na ya muda mrefu tangu ujana wake, ila kwa kigezo cha umri na misukosuko anayoiopata Warioba, nasema ame-fit viatu vya mzee Mandela katika umri mkubwa.

Kama ambavyo mzee Mandela hakuchoka licha ya umri wake mkubwa, vivyo hivyo,nina imani mzee Warioba hata choka mpaka ushindi upatikane kwani alishawatangazia wabaya wake kuwa "tutakutana mtaani" kama alivyoanza.
 
image.jpg
 
Warioba ni mfia wananchi wanyonge, mpinga ubaguzi na mzee wa Heshima
 
Anapigania Tunu za Taifa, hakika ana fit viatu vya wapigania haki wote wa Africa.

Go on Mzee Warioba
 
Warioba atakumbukwa xana ktk historia ya nchii hii na vzaz vjavyo!! Natamani mzee Warioba aione Tanganyika huru bila koti!!! Mungu amjalie maisha marefu ashuudie anguko kuu la ufalme wa majuha!!!
 
Unaumwa wewe mandela huwezi kumlinganisha na watu walevi wa gongo kama warioba mtu anahongwa vihela kidogo na ukawa anatoa matamko kama chizi kwani mandela alikuwa mbugila kama warioba?
 
Warioba ni mfia wananchi wanyonge, mpinga ubaguzi na mzee wa Heshima
Alipokuwa waziri mkuu alifanya nini zaidi ya kulewa na kujaza vimada ofisini mpaka ofisi ikamshinda.
 
Unaumwa wewe mandela huwezi kumlinganisha na watu walevi wa gongo kama warioba mtu anahongwa vihela kidogo na ukawa anatoa matamko kama chizi kwani mandela alikuwa mbugila kama warioba?

Sisi wengine hupenda kumsifu mtu angali yu hai na si vinginevyo.
 
Alipokuwa waziri mkuu alifanya nini zaidi ya kulewa na kujaza vimada ofisini mpaka ofisi ikamshinda.

Ukisema habari za VIMADA hata hao unaodhani ni watakatifu ndiyo wachafu kupindukia.Jaribu kutafiti maisha yao ndiyo utajua.

Tunaongelea anachokiongea ndicho tunachokihitaji kusikia tupime hiyo Katiba ya Kichina kama inastahili kura zetu za NDIYO.Tuachieni nafasi ya kusikiliza tuliwasikiliza mlipokuwa mnajadili UTUMBO,MATUSI na MIPASHO miezi yote mitatu sasa zamu yetu kusikiliza watu wenye AKILI timamu siyo hao wapumbavu akina MAKONDA,SITTA & Coy.
 
Unaumwa wewe mandela huwezi kumlinganisha na watu walevi wa gongo kama warioba mtu anahongwa vihela kidogo na ukawa anatoa matamko kama chizi kwani mandela alikuwa mbugila kama warioba?

Alipokuwa waziri mkuu alifanya nini zaidi ya kulewa na kujaza vimada ofisini mpaka ofisi ikamshinda.

Warioba anazeeka vibaya.

Ipo siku mtawatukana WAZAZI WENU kwa sababu ya vijipesa mnavyolipwa!
Kama CCM inawategemea nyinyi katika kuisafisha, basi aliewapeni hii kazi akili yake sio nzuri! Si ajabu siku moja mtamkuta mzazi wenu wa kike akigeuzwa na hao mnaowatumikia na mkabaki kuwapigia makofi ma 3 ya CHAMA!
 
Warioba ni jaji wa kimataifa yaani international zones....sio mchumia tumbo km makonde cjui makonda mchumia tumbo na domo km nguruwe aloshikwa na mapepo.
 
Alisema,tutakutana mtaani,kazi ndio inaanza enyi wanachama wa chama cha mapepo(ccm) tulieni,mzalendo wa nchi kuwa yeye ndio aliyefanya kazi na mwalimu sio ninyi mnaomkejeli mwalimu.
 
Haswaa mzee anatushinda hadi vijana wadogo kwa kupambana.
 
Back
Top Bottom