Yaa point na ni kwanini mtanganyika hajawahi tawala zanzibar!?
Huyu ndiye mgombea wa CCM na Lowasa mgombea mwenza.Wote mnaombeza huyu jaji ni washenzi, Kamwe Lowassa wenu hawezi kutoboa
Ha ha ha haah,,,,,,kwa sababu ya kero za muungano.Duh
Halafu kweli,hivi ni kwanini?
Ha ha ha haah,,,,,,kwa sababu ya kero za muungano.
kwani huyu jaji ni mzanzibar kweli au
Ila watu kwa kuhukumu hamjambo!
Aliyewaambia mumishi yyt hawezi/hafai kua raisi ni nan?
Mnataka tuache Giza litawale huko siasani!?
Nuru ni lazima,jaji kuwa mchungaji/kasisi hakuzuii yy kuwa raisi
bado nasisitiza kwamba mwisho wa siku mtatafutana tu humu ndani. . . . . . . .Team Lowasa at work, inawauma sana.
Jaji akuwa anafanyakazi yake Kwa haki kwani alikuwa na kadi ya ccm ndio iliyomfanya kuja sasa agombee atubu kwanza Kwa Mungu
Nyie bavicha muwe mnafikiri kabla yakuropoka! Nani anastahili kutubu kat ya dr slaa na jaji ramadhani?