Mungu yupo upande wa wenye haki.lakini kwanini asidanye maajabu ili ccm iondoke madarakani?haki getu tutaipata lini lakini? Dunia imetwaliwa na shetani.hawa ccmwana roho za kishetani.huko makabisani wanakoenda kuomba wanamdhihaki mungu.Bila kumumunya maneno mkono wa fisiem na 'siri-kali' upo na huyu propesa wa bgrn malapa lengo likiwa ni kuua Cuf na hatimae UKAWA ili ushindi kama ule wa 2015 usiwepo! Mungu yupo upande wa wenye haki siku zote.
Ay nakusikia.lakini anatubidi tuamuamini mungu tunapo muomba.kwani wapo wengine wanamuomba mungu kwasababu mbalimbalu lakini mioyono mwao hawaamini kiukweli kama mungu atasikiliza maombi yao.Mungu anajinsi yake ya kujibu maombi ya waja wake jinsi usivyo tegemea weqe muombaji.Hivyo basi wote wenye kujitambua tumuombe mungu na tumuamini ili siku moja shetani wa ccm ashindwe,atuachie nchi yetu iongozwe na wapinzani walio na vipaji vya kuongoza na kumcha mungu wa kweli.Mkuu sisi tutapita lakini Tanzania haitapita, tumuombe Mungu wetu.