Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Hamisi Juma amewataka mawakili wapya kutokuwa vikwazo vya utoaji wa haki

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Hamisi Juma amewataka mawakili wapya kutokuwa vikwazo vya utoaji wa haki kwa kutumia kanuni kuchelewesha haki wala mawakala wa rushwa kwa kudanganya wananchi kuwa wanawapelekea fedha mahakimu au jaji.

jaji.jpg
 
Mi namkubali kwa alichokisema ni ukweli mtupu. Hii itasaidia pia kwa majaji, mahakimu kuweza kufanya kazi zao kwa ufanisi huku mawakili nao wasiwe wazembe katika kazi zao ili haki iweze kutendeka.

Ila pia aweze kuangalia na department ya mawakili hapo mahakama kuu.

Hivi iweje baadhi ya watu wameapply admission ili wawe mawakili then hawajibiwi kuwa hawawezi kuapishwa kwa sababu kadhaa ila wamekosa nafasi ya kuitwa kusaili kwake ili wapate admission? Then wasubiri hadi mwakani mwezi wa 6?na mtu amepata matokeo yake ya ufaulu from the law school of tanzania?

Nafikiri akiulizia idadi ya waliobaki ambao hawakusailiwa, hawakuitwa ili kujua hatma yao, itasaidia sana sekta hii maana ni sehemu ya ofisi yake na hii ni doa na pia inaleta confussion katika utendaji wa haki.
 
Back
Top Bottom