Jaji Mkuu wa Kenya Anafaa Kupewa Nobel Prize

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
Baada ya kutoa hukumu ya kutengua matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya, Jaji Mkuu wa Kenya Maraga anafaa kupewa tunzo la Nobel Prize ya mwaka 2017. Sababu kubwa kwa mheshimwa huyu kupewa nishani hiyo ni jinsi alivyochukua hukumu hiyo ya kipekee barani Afrika. Jaji Maraga amethibitishia dunia kuna mahakama barani Afrika inaweza kutoa hukumu bila kupendelea wala kukumbatia utawala uliopo madarakani.
 
nafikiri anayestahili Nobel prize ni Uhuru Kenyatta kwa uungwana alioonyesha. alihubiri amani na kuheshimu maamuzi ya Mahakama. kwa upande wa Chief Justice...alikuwa anatekeleza majukumu yake kama judge. Nothing more, nothing less...
 
Uhuru Kenyatta kuwaita majaji Crooks na kutishia baada ya uchaguzi atawashughulikia majaji hao hafai kupewa nishani yeyote.
 
alikuwa ana express anger and disagreement! Hasira tu...kwani hata yeye alikiri kuwa alikuwa na hasira after the court ruling. personally, sioni kwa nini judge asifiwe na kuitwa shujaa wakati alikuwa ana-excute duties kama sehemu ya coram kama judge. nafikiri hizo tuzo wanastahili watu wengine kwa kuchagua Amani instead of violence..
 
Kiongozi mzuri na makini hawezi ku behave like that.
 
nafikiri anayestahili Nobel prize ni Uhuru Kenyatta kwa uungwana alioonyesha. alihubiri amani na kuheshimu maamuzi ya Mahakama. kwa upande wa Chief Justice...alikuwa anatekeleza majukumu yake kama judge. Nothing more, nothing less...

Sheria ya msingi ni kuwa matokeo ya urais yanayotangazwa kwenye kituo cha kupigia kura yaani polling center ni final ila ni kuwa transmitted electronically kwa mwenyekiti wa tume kwa kujumlisha ya nchi nzima na kutangaza. Kama kweli Jaji mkuu alitaka kujua mshindi wa kweli na kwa sababu chama cha upinzani kilisema tehama (computer generated the total figure) ilitezalisha kura, ni kwani mahakama hakutoa amri ya kuhesabu kura zote za vituo 290 kwani masanduku yote yamefungwa kwa lakiri? Physical recount would have saved tax payers' money. Lakini ni Mungu alitaka hayo yatokee kuona kama Chama tawala kingeandamana kwa fujo na watu kufa kama chama cha upinzani kilipoandamana na watu 28 wakafariki katika ngome zao! Without tests/exams no promotion! We leave it for God!
 
Back
Top Bottom