Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

Yes kama akili itakuwa kama ya yule Propesa, tumekwisha na kuna alama zinaelekea huko! Umeniacha hoi kwa kicheko! Sitamuita mtoto Ibrahim.... NEVER!

Hahahaaaa! Mie nilistukia tangia day one niliposikia uteuzi ; but the more we advance the more the dalilis not gud.
Tumwombee asikengeuke kwa sababu ni mtu muhimu sana kwa mustakabali wa utendaji haki.
 
Hahahaaaa! Mie nilistukia tangia day one niliposikia uteuzi ; but the more we advance the more the dalilis not gud.
Tumwombee asikengeuke kwa sababu ni mtu muhimu sana kwa mustakabali wa utendaji haki.
Ile press conference ilikuwa ya nini kama mahakama? Nimemshangaa sana. Lile jina hatari. Ngoja nilianzishie uzi, lakini najua mods wataufuta. Jina hilo!
 
Hivi alikuwa anajisikia kweli kipindi anatamka hayo maneno?!

Asante Mkuu, hili swali hata mimi nilijiuliza. Anaonekana kabisa kutoka "body language" kuwa he was extremely uncomfortable inside kana kwamba alilishwa yale maneno. Ni wazi alikuwa katika juhudi za kumridhisha aliyemteua.
Kwanza wala si busara kumsema jirani yako kiasi kile kuhusu ukabila kwenye press conference. It is simply not a wise thing to do. Huu u-Professor hauna maana huku kwetu nini? Profesa huongelea kitu alichokifanyia utafiti na wazo litokalo kwa Profesa ni lazima liwe linatekelezeka. Napata kichefuchefu kusikiliza mawazo ya ma-Profesa wa Tanzania au ndiyo tunao wengi kina maji marefu nini????
Naomba kufahamu ali graduate wapi huyu? Uprof ni UDSM? loh!
Hii ni aibu kwa Taifa letu.
 
Tanzania tulipokosea ni hapa watu wenye huwezo mkubwa ndo wamekua watazamaji wenye uwezo mdogo tumewapa mamlaka kubwa ya kutongoza
 
Mwana demokrasua wenu Uhuru kasema kuwa kile kilichofanywa na court ni coup de ta in his 21.09.2017 speech at state house.
jiulize baada ya yeye kushinda nini kitaipata mahakama ya kenya!

wewe unasema kuna uhuru wa mahakama kuliko Tz..

Uhuru uliopitiliza ni uwendawazimu.
"Katiba"
 
Kwa David Maraga atasubiri sana na uprofesa wake.
Ajitazame kwenye kioo aseme kama anaweza kumdindia Magu kama Maraga alivyofanya kwa Uhuru!
Mchakato wa kumpata CJ wa Kenya sio hisani ya Rais. Yeye kachomeshwa mahindi miezi tisa hadi mimba imekuwa mtoto ndiyo kupewa u CJ
Uhuruto: Wewe unatengua maamuzi ya wanainchi milioni 15 ukiwa kama nani kwanza?

Hon.Maraga: I am chief justice of supreme court of Kenya.



Sasa huyu sijui profesa juma hana uwezo hata wa kupiga chafya mbele ya magu, halafu Leo hii tumlinganishe na Maraga aliyewanyamazisha raisi na makamu kwa sentesi moja tu, yatakuwa ni matusi makubwa kwa dr.maraga
 
Back
Top Bottom