Jaji Mkuu Mstaafu B. Sammata amteua Prof. Kusiluka kuwa Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe

Meela! Public Universities Act ya lini hiyo? Huenda ni mpya. Mm naijua Universities Act No. 7 ya 2005.
 
Meela! Public Universities Act ya lini hiyo? Huenda ni mpya. Mm naijua Universities Act No. 7 ya 2005.

You are right sir. I was referring to Universities Act of 2005 where most of administrative provisions for public universites are spelt out including appointment of top officers like the VC.
 
Hongera sana Kwa prof. Kusiluka bosi wangu wa zamani pale Open University akiwa Kama Deputy Vice Chancellor- Resource Management
 
Prof Itika kwanini kabaniwa?
Baada ya interview inasemekana alikuwa rank ya 3, nadhani huyo kusiluka alikuwa namba 1. Wenye habari wafunguke zaidi. Ila Itika alikuwa mzuri tu ktk kipindi chote alichokuwa ana act kwa mujibu wa wadau walioko huko.
 
Back
Top Bottom