Jaji Mkuu Mstaafu B. Sammata amteua Prof. Kusiluka kuwa Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Sammata amteua Prof. Kusiluka kuwa makamu mkuu Mzumbe.
=====

PROFESA LUGHANO J. KUSILUKA ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE

Hii ni kukufahamisha kwamba, Mkuu wa Chuo kikuu Mzumbe, Mh. Barnabas A. Sammata (Jaji Mkuu Mstaafu), kwa Mamlaka aliyokabidhiwa na sehemu ya Pili, Kifungu Na. 5(1) cha Hati Ridhia ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007 amemteua PROFESA LUGHANO J. KUSILUKA kuwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu Mzumbe kwa kipindi cha miaka mitano (5) kuanzia tarehe 3 Juni, 2016 badi tarehe 2 Juni, 2021.

Wanajumuiya wote mnaombwa kumpa ushirikiano ili kwa pamoja tuweze kufikia misheni ya Chuo kikuu Mzumbe.

IMG-20160602-WA0019.jpg
 
Hivi mkuu wa chuo ndiye anayeteu makam mkuu wa chuo au ni raisi? Au hili ni kwa baadhi ya vyuo?
 
Makamu Mkuu wa Chuo huteuliwa na Mkuu wa chuo (According to most University Charters). Ndio sababu kunakuwa na mchakato wa kumtafuta VC. Raisi huteua wakuu wa Chuo pale tu baraza halipo kama vile wakati wa kuanzisha vyuo vipya.
 
Prof Itika kwanini kabaniwa?
Kaskaziniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mtachimba chin mwaka huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Jane ebu nambie JPM kasema nini kuhusu UDOM, sababu ya kuwafukuza, nasikia kaongelea. I have just come at my computer and tv. Did you hear it live?
Sababu kubwa nilivyomuelewa ni kuwa hakukuwa na haja ya kurundika wanafunzi wanaosoma kozi ya diploma kwenye Chuo kikuu wakati vyuo vya diploma havina wanafunzi. Indirectly, ni kama alikuwa anawaponda waliobuni hiyo program namely serikali ya Kikwete.
 
Duh
 
Makamu Mkuu wa Chuo huteuliwa na Mkuu wa chuo (According to most University Charters). Ndio sababu kunakuwa na mchakato wa kumtafuta VC. Raisi huteua wakuu wa Chuo pale tu baraza halipo kama vile wakati wa kuanzisha vyuo vipya.
 
Makamu Mkuu wa Chuo UDSM huteuliwa na Rais,huko kwingine ni kanyaga twendeeeee
 
Makamu Mkuu wa Chuo UDSM huteuliwa na Rais,huko kwingine ni kanyaga twendeeeee

Hapo hujasema ukweli. Makamu mkuu wa UDSM aliteuliwa na rais kabla ya Public Universities Act. Baada ua hiyo sheria ambayo inatamka kila chuo kikuu cha serikali kuwa na chata yake, makamu mkuu wa vyuo vyote vya serikali huteuliwa na Mkuu wa chuo ambaye huteuliwa na Rais.
 
Back
Top Bottom