Jaji Mkuu Masaju: Nani anasema Mahakama Tanzania haiko huru?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
JAJI MASAJU AKEMEA VITENDO VYA KUIKASHIFU MAHAKAMA, "NANI ANASEMA MAHAKAMA HAIKO HURU"

Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju hii leo Disemba 05, 2025 ameonya kuwa tabia ya kuisema vibaya Mahakama kwa Umma kuwa haitendi haki wakati watu hao wakiwa wameshindwa kesi inalenga kuichafua Mahakama, kuidhalilisha hadharani na kuhatarisha misingi ya uhuru wa kimahakama nchini.

NAKUKUMBUSHA: KESI ZINAZOHUSI SERIKALI NA WAPINZANI AU MKUBWA SERIKALINI ANA MASLAHI NA KESI HIZO, ZIKO A BILLION TIMES COMPROMISED!
 
Sasa Mahakama ina uhuru gani?

Kesi ya Lissu watu wamepigwa nje ya Mahakama na Hakina kauli imetoka.

Upande wa Jamhuri umeonesha kila aina ya Uhuni na hakuna kitu mahakama iliamua
 
#TANZANIA: JAJI MASAJU AKEMEA VITENDO VYA KUIKASHIFU MAHAKAMA, "NANI ANASEMA MAHAKAMA HAIKO HURU"
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju hii leo Disemba 05, 2025 ameonya kuwa tabia ya kuisema vibaya Mahakama kwa Umma kuwa haitendi haki wakati watu hao wakiwa wameshindwa kesi inalenga kuichafua Mahakama, kuidhalilisha hadharani na kuhatarisha misingi ya uhuru wa kimahakama nchini.

NAKUKUMBUSHA: KESI ZINAZOHUSI SERIKALI NA WAPINZANI AU MKUBWA SERIKALINI ANA MASLAHI NA KESI HIZO, ZIKO A BILLION TIMES COMPROMISED!
He knows that, lakin kama vile wengine walioko nafasi hiyo wanauficha ukweli

Judiciary is compromised since waaay back
 
Kumbe kuna wasukuma wajinga, hivi huyu jamaa yupo sawa kichwani kweli - Majaji hatuna kabisa, Jaji Nyalali fufuka ushuhudie uozo namna mahakama kuu yako ilivyogeuzwa chaka la CCM mtandao kupitishia mambo yao ya kukandamiza wananchi.
 
Huyu nae kumbe ni Matakor😢
 
Rostam Aziz alisema wazi wazi Mahakama za hapa nchini ikipigwa simu 1 tyuuh bas maamuzi yanakua kadri ya simu itakavyoeleza
 
  • Thanks
Reactions: I M
Bahati nzuri kuna jamaa alishatuambia mahakama zetu ni za simu moja.
 
#TANZANIA: JAJI MASAJU AKEMEA VITENDO VYA KUIKASHIFU MAHAKAMA, "NANI ANASEMA MAHAKAMA HAIKO HURU"
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju hii leo Disemba 05, 2025 ameonya kuwa tabia ya kuisema vibaya Mahakama kwa Umma kuwa haitendi haki wakati watu hao wakiwa wameshindwa kesi inalenga kuichafua Mahakama, kuidhalilisha hadharani na kuhatarisha misingi ya uhuru wa kimahakama nchini.

NAKUKUMBUSHA: KESI ZINAZOHUSI SERIKALI NA WAPINZANI AU MKUBWA SERIKALINI ANA MASLAHI NA KESI HIZO, ZIKO A BILLION TIMES COMPROMISED!
Rostamu alisha weka wazi,hao majaji ni simu moja tu.
 
Achana nae huyu. Kiharusi kishaanza kumla ubongo.

Si umeona anavyotetemeka mikono?
 
Back
Top Bottom