Kama jaji mkuu yumo, wajitahidi watende haki maana itakuwa aibu ya mwaka kama naye ataingia katika kurudia makosa ya aliyetengua ubunge wa lema!
Tundu Lissu ni kiboko ni kati ya wanasheria wachache sana duniani ambao sio waoga aliwachana live kitu ambacho kwa upande wa ccm hawakiwezi kabisa
wadau wa JF,
Ninasikiliza kipindi cha magazeti cha RFA nimesikia kuwa jaji chande atasikiliza kesi ya lema akishirikiana na jaji kimaro na jaji masati. kwa hiyo yule mwanafunzi wa open university ndg mbarouk mbarouk kapigwa chini. kumbe tundu lisu alisema kweli. viva cdm!
Huyu chizi alishafukuzwa na makopo yake sioni sababu ya kuendelea kumzungumzia.Hata baraza la kata linaweza kusikiliza rufani ya Lema.

Jaji Mkuu Augustino Ramadhan? yule aliyepindisha hukumu ya mgombea binafsi kutaka fadhila baada ya kustaafu(makamu mwenyekiti tume ya katiba)
Mh JM Chande hawezi kumuuzi boss wake, Yangu macho
Why Jaji mkuu kwenye rufaa ya LEMA? Kesi yake ilikuwa ngumu sana majaji wengine kushindwa?, au kutakuwa na utashi wa siasa ndani yake?
Kama judge mkuu kaamua kushikilia hiyo? Je anakwenda kubariki hukumu ya kihuni ya jaji alietangulia au anakwenda kuonyesha umahiri wake wa kisheria,?
Juzi juzi tulimsikia RC wa Arusha akisema amani kwanza, haki baadae.
Hii kauli ina maana gani kwa Taifa??