Jaji kiongozi ameyasema leo

Jaji kiongozi ameyasema leo

Du. Anaepuka kuwa wa michongo!
Kwani michongo nani alianza nayo? Huyu ndie alianza kuonyesha kwamba amechongwa kwa kupindisha sheria kesi ya kubumba ya Mbowe na wenzake. Haya anayo ongea ni upuuzi mtupu. Huwa wana jivua ufahamu.
 
Nani kaskia wimbo mpya ya rap unaitwa 'kilakitu michongo'.
Makama za michongo,majajiwalaji wa michongo,mashahidi wa michongo,spwika wa michongo,mawazri wa michongo,prezda wa michongo...
 
Huyu tena ndo kiazi kabisa bora angesema jaji mwingine. Kwa wapinzani na masikini hapa Tanzania mahakama kwao ni tishio.
 
Huko mahakamani siku hizi taaluma inachanganywa na siasa hakuna maana tena, bora nikimbilie kwa sangoma.
 
Huyu ni jaji WA ajabu haijawahi kutokea. Mahakama yaTanzania ni kimbilio la wajinga na wapumbavu. Hakuna mtu mwenye akiri timamu ambaye anaweza kwenda mahakamani kudai haki itendeke. Never.
Hivi jaji Mkuu hajiulizi Kwa nini mauaji yameongezeka?? Au Kwa nini uchaguzi wa 2020 hakuna kesi ya kupinga matokeo ya ubunge hata moja iliyofunguliwa??

Kwa nchi yetu ni Bora ukimbilie Kwa kalumanzira ukamshughulikie aliyekukosea utapata haki kuliko kukimbilia kwenye hizi mahakama za kwetu zinazo tafasiri Sheria Kwa jicho na akiri ya executive.
 
Back
Top Bottom