Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa za posho na amekubali kuaibishwa na GenZ, basi aendelee na vitisho hata heshima ndogo aliyostaafu nayo itapotea.
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.