We unautaka ili iweje si umuulize mwenyewe acha kusumbua watu
kumbe baba rz anamtumia kama rough rider.
Jaji Thomas Mihayo ndiyo aliyemhukumu Babu Seya lakini sio kweli kwamba ndiyo aliyemhukumu Mb. G. Lema.
Sio kweli. Aliyemhukumu Babu Seya ni jaji (sasa Mstaafu) Thomas Bashite Mihayo. Wakati wa kesi ya Babu SEYa, Mhe. Gabriel Rwakibarila (aliyetoa hukumu ya Mhe. Lema) hakuwa jaji, alikuwa msajili wa mahakama kuu akishughulikia kitengo cha mawakili.
JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.
Jaji Thomas Mihayo ndiyo aliyemhukumu Babu Seya lakini sio kweli kwamba ndiyo aliyemhukumu Mb. G. Lema.
Ni Jaji Thomas Mihayo,kwa sasa ni m/kiti bodi ya PPRA.