Jaji aagiza Masheikh wa Uamsho kurejeshwa mahakama za Zanzibar

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Jaji Fatma Hamid Mahmoud atoa agizo la Masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Uamsho) kurejeshwa kwenye Mahakama za Zanzibar.

index.jpeg

Jaji Fatma amehoji ni nani karuhusu Masheikh kupelekwa kwenye Mahakama za Tanzania Bara bila ya Mahakama yake kujulishwa katika ile kesi inayowakabili ambayo ipo chini yake?

Kesi hiyo imehairishwa hadi 11/5/07.
 
cc Barghash
 
Huyu ni Jaji makini kabisa a no nonsense iron lady, baba yake alikuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mama yake Mahafudha Hamid Alley (Untie Ummy) ni Mwanasheria/Mwanahabari alikuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binaadam na Utawala Bora, kaka yake Aziz ni advocate wa Mahakama Kuu. Hapo sheria imesimama wima na wakirudishwa tuu Zanzibar, huyu Jaji atafutilia mbali kesi zisizo na kichwa wala miguu.

Paskali
 
Upumbavu wa wavaa njiwa umepelekea mpaka Hawa masheikh wamesoteshwa rumande mwaka wa NNE huu.

Halafu ukute yule sheikh ubwabwa wa hapa mjini yeye kazi yake ni kumsifia failure bashite.

Lakini kwani wavaa njiwa wameikosea nini nchi hii
 
Huyu ni Jaji makini kabisa a no nonsense iron lady, baba yake alikuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mama yake Mahafudha Hamid Alley (Untie Ummy) ni Mwanasheria/Mwanahabari alikuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binaadam na Utawala Bora, kaka yake Aziz ni advocate wa Mahakama Kuu. Hapo sheria imesimama wima na wakirudishwa tuu Zanzibar, huyu Jaji atafutilia mbali kesi zisizo na kichwa wala miguu.

Paskali
Mkuu Pasco.. hv Kweli for All those years she Had No info that the hao Mashehe wameletwa huku bara? kweli without her notice bro? why didnt she recall them Immediately?
 
aji Fatma amehoji ni nani karuhusu Masheikh kupelekwa kwenye Mahakama za Tanzania Bara bila ya Mahakama yake kujulishwa katika ile kesi inayowakabili ambayo ipo chini yake?

Kesi hiyo imehairishwa hadi 11/5/07.
Pendeni kuwa mna soma vitu kwa undani na kudadavua kila sentensi.........11/05/07 NDIO NINI????
 
Wanzanzibar wanapendaga sana kugawa mamlaka zao kwa tanganyika kila wakati
 
Back
Top Bottom