je watz tumeridhika na haya yanayotokea kila kukicha? kama jibu ni hapana tuna mkakati gani au tunaishia kucomment hapa Jf! tumkeni huu si muda wa kuogopa virungu kwani hakuna wa kumwamini la sivyo tunatengeneza worst place for the future generation! na maana nguvu ya umma ihusike hapa
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.
Tena ni bora luhanjo, utoh na mwenzao jairo wote wang'olewe kupisha uchunguzi na m2 kama Luhanjo na Utoh ni mzito kwa taifa na bila kumsahau hosea wote piga boot.
ipo siku watwazomewa hata na watoto mtaani kwani dhambi yao itawatafuna kila kukicha.we have to wake up la sivo nchi itauzwa na wao watakimblilia ughaibuni
Hapo ndipo nitaamini CCM ni wababe wasioogopa hata nguvu ya umma na pia nitaamini sisi ni wadanganyika tunaodanganxwa nakuuona uongo na kuendelea kuwa kimya. Yafaa tukifikirie kizazi kijacho tunakiandalia mazingipa gani? Na je vizazi vilivyotangulia vingefanya hivi tungelikua wapi? Tz ya kesho imeandaliwa leo
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse. <br />
<br />
Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!