Kuna habari kwenye gazeti la Raiamwema la jana kuwa aliyekuwa katibu wizara ya Giza na migao kafunga ofisi(ya umma) na kuondoka na funguo kwa maelezo eti kuna vitu vyake vimekaa vibaya na eti yuko likizo tu hajafukuzwa kazi.
Nauliza utaratibu huu wa kuondoka na funguo za ofisi ya umma hata kama uko likizo au vitu vyako vimekaa vibaya umeaanza lini ?
Kuna taarifa kuwa aliwahi kufanya hivi pia huko nyuma alipohamishiwa ikulu mlango ikabidi uvunjwe.
Alienishangaza zaidi ni yule cheap Ngeleja, what a shame??
Wanachotumia kufikiria kishajulikana mkuu.......Kaka Ivuga alitusaidia kuweka picha ya hao waliokuwa wanasukuma gari kwa "rear view" na hapo ndo utayajua wanayotumia kufikiria