Hivi mtoa rushwa na mpokea rushwa si wote wahalifu? sasa kama tulimshikia bango Jairo na tukawaacha waheshimiwa wabunge waliopokea itakuwa vipi? Halafu hii habari ya rushwa kuandikiwa barua sijawahi kuisikia, labda lile 'bomu' la Mh. Mrema dhidi ya BWM kuhusu rushwa ya mil. 900 mwaka 1997.
To me it is not about Ubenaism but rather JK-ism. JK has been moving with his people from Tanga School to different places. By the way, that includes people like Johnson Mwanyika and the like.