The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 259
Ok, then what? Kwanini asisimamishwe kazi pamoja na kushitakiwa kwa kitendo cha kutumia mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhongea? Hivi hiyo bilioni moja ingefanya mangapi ya kusaidia kuokoa tatizo la mgao wa umeme? Tunataka Jairo ashitakiwe na akiwa mahakamani atutajie wabunge waliochukua huo mlungula ili waturudishie tufanyie mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
amesema nini kuhusu ngeleja na watu wake, hiyo cabinet itafanya vipi kazi chini ya ngeleka kama mkuu wa wizara.!? Hili ni changa la macho wangestep down wote afu ndo uchunguzi ufanywe..
Source please!
Huu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi Jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate Tanzania.
kama kawaida,hujamaliza kusoma unataka source!haya bwana mwita,source ni ITV Wametoa breakng news,luhanjo alikuwa na mkutano na Media Dodoma!Source please!
Huu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi Jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate Tanzania.
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo. source ITV breaking news.
Source please!
Unaijua sheria ya kazi au unaongea kishabiki tu?Ok, then what? Kwanini asisimamishwe kazi pamoja na kushitakiwa kwa kitendo cha kutumia mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhongea? Hivi hiyo bilioni moja ingefanya mangapi ya kusaidia kuokoa tatizo la mgao wa umeme? Tunataka Jairo ashitakiwe na akiwa mahakamani atutajie wabunge waliochukua huo mlungula ili waturudishie tufanyie mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.