jana usiku nilikuwa nasikiliza tbc taifa nikasikia wananchi wapo wanapanga mikakati ya kumpokea mbunge wao kishujaa baada ya kutoa hoja ile ya fao la kujitoa!!! Nikaanza kushanga! Hoja kama hizo mbona zinztolewa nyingi sana na upinzani lakini hawapendelei misifa ya hivyo????
Haya mambo ya kule kwetu Songagwegwe....kheee!
hao wananchi watakuwa wanaandaliwa kumpokea,na itakuwa kwa g'harama kubwa sana!!!!!idia ilishatolewa na mnyika yeye kadandia kwa mbele.nahisi atakuwa aliitwa na spika akaambiwa atoe hiyo hoya walau kumfanya nae asikike.jana usiku nilikuwa nasikiliza tbc taifa nikasikia wananchi wapo wanapanga mikakati ya kumpokea mbunge wao kishujaa baada ya kutoa hoja ile ya fao la kujitoa!!! Nikaanza kushanga! Hoja kama hizo mbona zinztolewa nyingi sana na upinzani lakini hawapendelei misifa ya hivyo????
Na kule 'KaziMzumbwi'...tutacheza 'vanga' si mchezo!
Naunga mkono mawazo ya wanakisalawe ikiwezekana apitie na huku kwetu tulisukume gari lake hadi kisalawe!
100% ya ubongo wa mwanadam umeundwa kwa maji nyie chezeni vanga wenzenu tunacheza ngoma ya ukombozi
Mimi ngoja niondoke hapa maana nahisi harufu ya ban hapa kwani huyo jafu ndio nani??alishawahi changia nini??bungeni mpaka aitwe shujaaa???ngoja niondoke ban inanukia.......................