Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi.
Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadanga wengine.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama.

Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“.

Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kumuacha na Harmonize kuanza Mahusiano na sarah ambaye ana kipato kikubwa.

View attachment 848031

Sent using Jamii Forums mobile app
Aende kwa raisi wa manzese , akamgawie uruda maana na yy yupo Africa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rolu modo wake ni makwinda! Mume atamsikia tu kwenye bomba.
Mashine inapiga makofi ya nini tena jamani?
 
Back
Top Bottom