Send-off ni sherehe ya wazazi kumuaga binti pindi anapokaribia kuolewa...
Sasa kwa mwanamke kama huyo kashaolewa mara kadhaa, kazaa watoto wawili na mtu aliyekuwa anaisbi naye kinyumba, it's meaningless to call it a send-off...
Hiyo ni sherehe tu isiyo na jina maalumu...