Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi
NAKULA UJANA.......
Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi
NAKULA UJANA.......
Jamani eee, kaene mbali na Jackline Nselem, hamjui shida niliyopata kumfikisha hapo. Isitoshe mahari nshatoa. Nitam-Mushi mtu. ohoooo!I love her too,she is cute!!! ooovaaaa!!!
Jamani eee, kaene mbali na Jackline Nselem, hamjui shida niliyopata kumfikisha hapo. Isitoshe mahari nshatoa. Nitam-Mushi mtu. ohoooo!
Kiukweli hata mie na baadhi ya marafiki zangu hapa including mke wangu huwa tunampenda sana huyu binti kwa kazi yake pamoja na yule mwenye maneno mengi anaye tangaza michezo
weka picha.wengine hatumfahamu.
weka picha.wengine hatumfahamu.
Jamani eee, kaene mbali na Jackline Nselem, hamjui shida niliyopata kumfikisha hapo. Isitoshe mahari nshatoa. Nitam-Mushi mtu. ohoooo!
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!