Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge la Uganda afariki dunia

Sala za spika wa aliyepita zimesikiwa na Mungu,maana huyu Qoulanya ni spika wa mchongo,Museveni alimchomoa kimagumashi spika aliyepita Hon Rebeka na kumchomeka huyo hayati,naye amekaa mwaka mmoja tu na kulala,mungu amrehemu marehemu
 
Mpinzani wake kwenye kiti Cha usipika hajawahi kanyaga bungeni nimbunge na niwaziri nilicheka Sana
 
Back
Top Bottom