Jackie Chan vs John Depp | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jackie Chan vs John Depp

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mfupa, Nov 14, 2011.

 1. M

  Mfupa Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who Is The Best Actor? baada ya kumlinganisha Johnny Depp na kuona Kazidiwa na Denzel Washngton kwa Wabongo wengi. Sasa tunamlinganisha na Bingwa Jackie Chan.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mi napenda movie za Jack Chan.....
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jackie Chan
   
 4. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Johnny Who?...who is this dude?...Nilimfaham Jackie Chain nilipokuwa class 4!!.....The master of stunts!
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe mtoa mada unajua movies kweli au unakurupuka tu kutoka usingizini na ku post vitu vy ajabu sasa utamfananishaje jacky chan na john depp wakati kila mtu ana style yake ya uchezaji movies?? hii ni akili au matope jana ulilinganisha johnny depp na denzel nikakaa kimya coz ulikosea pia jinsi ya kulinganisha sasa ngoja nikufundishe jinsi ya kulinganisha
  siku zote unapotaka kulinganisha actor linganisha character ambao wanaweza kucheza the same role mfano kama character anatakiwa we black basi kuna will smith, denzel, martin, kat williams

  kama characyer anatakiwa awe msichana wa ki latina basi anatakiwa mtu ambaye ata look like latina
  michele rodrigues, jenipher lopez, penelope cruz n.k

  na kama character anatakiwa awe mchina au mkorea au m indonesia basi jacky chan, jet lee, na nk


  kama ni m russia basi kuna dolph lungren, gary oldman na wengine kibao


  teenager actors
  kuna kina stifler, zac efron na wengine  sasa ndugu yangu unavyosema unataka kumlinganisha jacky chan na depp unakosea mkuu tena sana

  jacky chan mlinganishe na kina

  jet lee, marc dacascos, bruce lee, liu kan wa mortal kombat, donnie yen, yaani watu ambao wana act martial art movies ndipo unaweza muweka jacky chan  johnny depp mfananishe na kina
  harrison ford, orlando bloom, sean bean, nk


  coz unavyoelekea waweza mfananisha johnny depp na angelina jolie


  au waweza mfananisha johnny depp na Ramsey Noah na wabongo ninavyowajua wanaweza kusema RAMSEY NOAH yuko juu zaidi ya Johnny depp ni hayo tu  kama kuna mtu ana swali aniulize

   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono maoni yako. Uko On the line.
   
 7. M

  Mfupa Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is not about black or white Actor,Male or Female. Mashabiki wanajua wanachokipenda.
  walioelewa Mada wanaendelea Kuchangia. So chagua unaempenda au acha kuchangia.
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wana igiza different kind of movies, so aileti mantiki.. Labda Jack chen vs Jet li/ steven seagal
   
 9. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umemjibu vizuri sana mkuu. Nadhani unafahamu movie industry. Kwa msiomjua John Deep google jina hilo. Jamaa ni noma!
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mkuu tatizo sio kama mashabiki wanaweza kuipenda tatizo ni kwamba these two actors ni wa different Genres wana act movies tofauti
  huwezi linganisha kwa jinsi hiyo na ndio maana watu wanashindwa ku comment huo kataa usikatae umekosea kuwapambanisha hawa watu vizuri fanya homework yako vizuri mkuu
   
 11. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Yaani hapa kama ni mziki hapa ni sawa na kupambanisha reggae na bolingo, wapi na wapi mkuu? Hapa umechemka ukubali hilo.
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu huo mpangilio wako ni sawa na unampambanisha Remmy Ongala na Lil wayne
   
Loading...