Kwani Jack Zoka alikuwa ni Jaji au Hakimu?ngoja nitume maombi kujaza hilo pengo faster,nirudishe imani ya watanzania kwa serekali yao..
kesi ya kwanza ntakayoanza nayo ni kuhakikisha wezi wa kuku wote wanarudi uraiani,ili nipate vyumba vya kutosha magerezani kwa ajili ya mipapa ya madawa ya kulevya,majangiri,wachumia tumbo wote wenye utajiri ulopindukia usio na detail za kujitosheleza
twamtakia mapumziko mema ya kustaafu,karibu sana mtaani ambako hakuna kusaini posho za vikao,ni full mishemishe ndo mkono uende kinywani
Kweli mkuu na kazi yake aliifanya barabara hadi kitengo kikajeuka cha siasa kabisa!!! Kuhakikisha mambo mengi yanafanyika kukiwezesha kilicho madarakani kuendelea kushika hatamu hata kama likishindwa 2010.Nasikia alikuwa mkuu wa kitengo cha siasa. Kazi yake ni nzuri sana na kila mtu atamkumbuka kwa yote aliyowafanyia Watanzania....lol!!
Pia wahanga wa jitihada zek hawatakaa wamsahau!
Sidhani kama ni kipimo tosha kuwa Usalama wa Taifa hawafanyi kazi. Ninachojua mimi ni kwamba kazi yao ni kuishauri serikali na siyo kuchukua hatua. Vile vile siamini kama kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kukamata najangili ndiyo majukumu pekee ya Idara ya Usalama wa taifa.
ni kweli amestaafu, na soon atakuwa balozi wa tanzania nchini venezuela
Kama amavyo jina lako lilivyo, wewe ni BUNDI kati kati ya ndege mchana kweupeee, ndege watakuwa TISS wenzako sema siku wakikugundua utakoma, yaani unajua mpaka kipindi ambacho hamkufanya kazi eti ni kufikia 2010? TISS kazi kwenu, mna bundi kati yenu.
Nasikia huko kwao wanamasifu sana kwan ameboresha masirahi ya wafanyakazi wengi wao wanatembelea magari
Unathibitisha umbea?Taarifa ni za kweli na sasa anajiandaa huenda akapata promosheni ya ubalozi nchini Venezuela namkumbuka zoka tangu yuko ubalozini ubelgiji aliporejea alikuwa chini ya mzee Magere. baadae ndio akapa hiyo nafasi.
Kama amelinda vizuri viongozi wa ccm ambacho ndo chama tawala, well done. Hilo lilikuwa ni jukumu lake na anastahili kupongezwa kwa hilo. CHADEMA subirini muda wenu ukifika nanyi mtalindwa vizuri na idara yetu mahiri
Kwao wapi mkuu? Kwao ni Bunda hakuna lolote kwa yeyeyote anaye kujua musoma ataelewa halisi ya maisha ya kule.Aje ashiriki nasi ulinzi wa sungusungu kando ya ziwa victoria.
Kazi zifanywazo na usalama wa taifa zinajumuisha mambo mengi ukisema madawa ya kulevya na ujangili haitoshelezi kusema ndio kazi pekee zifanywazo ndani ya idara hiyo nyeti kwa gorvenment, kuna masuala mengi sana ambayo yapo chini ya TISS ambayo huwezi kuyaorodhesha yote hapa
Kama source yako ni ya kweli, basi tumtakie kila la heri katika maisha yake nje ya system. Kuna mengi amefanya mazuri japo hayatasemwa au hayataonekana machoni kwa wengi tulioko uraiani na baadhi ya wana JF, basi yaigwe na vijana alowaacha nikiamini bado tuna vijana waadilifu wengi tu ndani ya system, pale ambapo hakufanya vizuri basi parekebishwe tukitegemea ufanisi katika kipindi hiki chenye changamoto nyingi kisiasa hasa kwa nchi zinazotuzunguka.
POLISI wanachukulia udhaifu wa usalama na hawatekelezi majukumu yao? ina maana POLISI wao wanategemea hiyo TISS ili kutekeleza majukumu yao? mkuu mimi siamini kama ni kazi ya TISS kwenda kwenye mikutano ya vyama vya siasa, ili kufanya nini?
Kweli mkuu na kazi yake aliifanya barabara hadi kitengo kikajeuka cha siasa kabisa!!! Kuhakikisha mambo mengi yanafanyika kukiwezesha kilicho madarakani kuendelea kushika hatamu hata kama likishindwa 2010.
sana tu mkuu. Hata mie nimeliona hilo. Hawa ndo wale wanaoropoti kwa watu na si kwa manufaa ya nchiduh yaani nchi yetu ipo uchi kiasi hiki hadi mtu akawa na access ya kujua viongozi waandamizi wa idara nyeti kama hii tena na mrithi wake? nadhani mtoa mada atakuwa ni mTISS aliyekiuka maadili ya kazi yake
CCM itatawala daima. hakuna mwingine zaidi ya ccmNdiyo hivyo mkuu....
Ila basi hawa jamaa wangekuwa na huruma kwa watanzania wenzio. Na labda wangetakia kukumbuka kuwa kuna siku nchi inatachukuliwa na watu wengine kutoka kwenye timu ya sasa!
sana tu mkuu. Hata mie nimeliona hilo. Hawa ndo wale wanaoropoti kwa watu na si kwa manufaa ya nchi