Jack Pemba matatani

uyu jack pemba ni nani hasa, na mimi naomba wasifu wake kwa wale wanaomfahamu..ana campuni ipi, anafanya biashara gani vile?...



jack pemba akiwa na mai waifu wake victoria pemba, mtoto wake mkubwa wa kiume jack pemba junior na mtoto wake mdogo wa kike gracie pemba.



























 
kumbe sio mtanzania, uyu jamaa mchafu sana, mbona anajiaibisha kufanya uchafu kama huo hapo kwenye picha...
 
mtz mwenye asili ya kiingereza...tabia, muonekano na mambo mengine.

sio mwingereza mwenye asili ya tanzania???maanake kama ana uraia wa uk si raia wa tz anymore...
 
hii mutu ni chafu, weka ndani haraka sana...mbona ana mambo ya ajabu...na huyo msichana naye mshamba sijui kamwokota wapi....
 
Huyu Muzamil kesi kama hizo wala hazimtishi anazo zaidi ya 100 na polisi wala hawamsumbui na hajawahi kufungwa. Kwa kifupi nahisi wakuu wa polisi wako kwenye ''payroll'' yake!

Bongo tambarare.
 
izo hela anazitoa wapi....wamwondoe hapa jamani mbona anakera....unajua shule kitu cha muhimu sana, ivi kinachomfanya kumwaga mihela huko kwenye akudo bendi ya kapuya ni nini? asijekuwa anauza madawa huyu?...wachunguze kuanzia kwenye madawa, uje kwenye uuzaji wa viungo vya albino, hadi kwenye ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa magari, asije kuwa kwenye network fulani yeye ndo anaonekana wasioonekana wapo..aonyeshe biashara anayofanya ni ipi hapa tz, marekani na huko uingereza kwao...
 
Huyu Muzamil kesi kama hizo wala hazimtishi anazo zaidi ya 100 na polisi wala hawamsumbui na hajawahi kufungwa. Kwa kifupi nahisi wakuu wa polisi wako kwenye ''payroll'' yake!

Bongo tambarare.

Hiyo ni kweli
 
Hiyo kesi yake imekuwaje mpaka sasa? Mwenye habari zake atujuze.
 

Huwa anawapa hela wale wakata viuno wa bendi mbalimbali wamtaje kwenye nyimbo zao..
 
hawa mapedejee kazi kumwaga pesa
kwenye ngwasuma na kutajwa
ndo wanaona siiiifa wawezakuta
hata kashamba ka hekari moja hana



Upedejee sio lelemama.

Rudi shamba ukalime, usije ozea jela buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…