Jack patrick alivyonaswa na madawa ya kulevya china

Jack patrick alivyonaswa na madawa ya kulevya china

Duh!upo sahihi mkuu!

Yaani Mkuu ni ajabu na kweli wenzao wanakamatwa lakini wao wanakwenda kubeba tena kabla yakwenda kubeba semba akiwa hapa nyumbani alisikia habari ya Masogange,Mwanamuziki wa fm academia,maiti ya Moro

Lakini akafanya moyo mgumu akabeba na kwenda huko alikokamatwa kwa kweli Serikali inatakiwa iwe makini yaani akiachiwa kule akija hapa afungwe tena maisha.
 
Hakuna lisilowezekana hapa duniani,China hawana lolote mbona walimwachia mtoto wa kigogo?

Yaani tuingie tena ktk mtego wa mikataba ya kishenzi kupoteza maliasili juu ya huyu mjinga. Hii yenyewe kuna watu wamewekwa viporo. Subirini tu ipo siku kizazi chao chote must perish....
 
Yaani tuingie tena ktk mtego wa mikataba ya kishenzi kupoteza maliasili juu ya huyu mjinga. Hii yenyewe kuna watu wamewekwa viporo. Subirini tu ipo siku kizazi chao chote must perish....

ndio mkuu,,,tutaingia tena,hujaskia leo kwenye magazet kuwa kilimanjaro ina utajiri wa Urani,na tanga ina utajiri wa mafuta,sasa hivi vitu si vinahitaj mikataba???
 
Ukikamatwa na Madawa ya kulevya yakiwa tumboni, Moja kati ya usilolijua ni Udhalilishwaji wakati unazitoa hizo pp tumboni. Usifikiri unapoenda kizitoa hizo pp unakuwa mwenyewe.

Kwa taarifa tu kwa wale wasiojua. Wakat unazitoa hizo pp, unakuwa umezungukwa na Team yenywe watu wasiopungua 6 hadi 10. Wakikuangalia wewe ukiwa unakunya hizo pp. Sasa basi kama kunya kwako ni starehe au Mumivu. Basi siku hiyo itajulikana kwa hao watu wanaokushuhudia unvyotoa Mzigo ulobeba tumboni.

Ukumbuke sio zoez la Mara Moja. Kwa ambaye amemeza Kete anzia 40 na kuendelea hadi zieshe kabisa Tumboni anaweza kwenda kujisaidia Mara 4 hadi 6 kwa Siku hadi siku Tatu ndio yatoke yote.

Sasa imagine, tokea upate akili hujawahi kusimamiwa ukiwa Unakunya, leo hii umekamatwa na UNGA/MADAWA unaenda kunya huku ukisimamiwa na Team ya watu 6 hadi 10 ili ushahidi usipotee.

Unaweza ukataman upasuliwe hata tumbo ili wazitoe kuliko uzalilishwaji wa namna hiyo. Lakini yote hayo unakuwa umejitakia mwenyewe.
 
kupambana na hawa watu ni ngumu kama inavyosemekana,lakini ilitakiwa kila anayekamatwa na kuachiwa huru baada ya kutumikia kifungo ama kulipa faini ni vyema watu hawa wapigwa kamba-nyongwa,hii itasaidia kuwapunguzia wao kurudia kubeba tena madawa hayo.
kiukweli kulitakiwa kusiwe na kesi za madawa ya kulevya mahakamani,ilitakiwa kila anayekamatwa na madawa ni kamba tu na hakuna haja ya kutangaza wala picha yake kuwekwa hadharani.
 
.

Mmoja wa waandishi wetu alipanda ukuta na kuchungulia ndani ambapo hakuona binadamu isipokuwa gari lake lile Benz jeusi likionekana liliegeshwa siku nyingi.
.

Hahaha hawa waandishi wambea kweli kweli

Sasa angeitiwa mwizi je/
 
kupambana na hawa watu ni ngumu kama inavyosemekana,lakini ilitakiwa kila anayekamatwa na kuachiwa huru baada ya kutumikia kifungo ama kulipa faini ni vyema watu hawa wapigwa kamba-nyongwa,hii itasaidia kuwapunguzia wao kurudia kubeba tena madawa hayo.
kiukweli kulitakiwa kusiwe na kesi za madawa ya kulevya mahakamani,ilitakiwa kila anayekamatwa na madawa ni kamba tu na hakuna haja ya kutangaza wala picha yake kuwekwa hadharani.

Ipo ck wananchi watachukua sheria mkononi kupinga uovu huu.
 
Kama alipandia ndege nairobi,hamna uhakika mzigo kamezea wapi,yaweza kuwa dar,nairobi ama bangkok.
 
mastaa wa tz wanapenda shotikati ndo maana mtu na mumewe wote punda haya nzowa kazifanya kesi za madawa kuwa na dhamana
 
Ninatamani nisiione Tanzania iliyosambaratika, nisione taifa la wabwia unga ambao hawatakuwa na uwezo wa kufanya kazi yoyote, taifa la mateja. Leo tunadanganyana kwa kusaka utajiri, kumbe kesho kitakuwa kiama kwa vile leo watu wanasaka kwa udi na uvumba maendeleo ya vitu wala sio watu. Bila serikali kuchukua hatua leo, kesho taifa halitakuwepo. MUNGU TUEPUSHE NA KIKOMBE HIKI.
 
We tender to overstay in some positions...Nzowa naye amekaa.
 
daah chipsi hawamalizi .... kilo mbili zinapita kwa reverse kupitia haja kubwa
 
Nani alaumiwe?mana hata sisi tunaoishi nao tunawaogopa kuripoti,na hao wanaopelekewa ripoti hawaaminiki,watunga sheria ndio wabomoa sheria wao ndio wauzaji wakubwa,kiongozi mkuu ndio mama mama
Na unaweza kujiuliza zilitumika shilling ngapi kufunga mashine mpya pale uwanja wa ndege na bado watu wanaendelea tu kupitisha hizi bidhaa haramu! Sasa ni wazi kuwa tatizo sio sheria wala vifaa bali uadilifu wa watendaji kutoka juu hadi chini lakini juu kunahitaji uadilifu zaidi ili chini waogope walau.

daah chipsi hawamalizi .... kilo mbili zinapita kwa reverse kupitia haja kubwa
Wengi tunashangaa siku hizi ni kwa nini wanapendelea '0714' kumbe wenzetu wapo kwenye mazoezi ya kazi maalum huku sisi tusioelewa tukiwaharibu wapendwa na dada zetu!

Kama alipandia ndege nairobi,hamna uhakika mzigo kamezea wapi,yaweza kuwa dar,nairobi ama bangkok.

mkuu kunatofauti kati ya kupitia nairobi na kupandia
nairobi so kuwa makini kidogo kwenye hili.
 
Back
Top Bottom