Jack Daniel's | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jack Daniel's

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kibukuasili, Apr 10, 2012.

 1. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimeona nitoe maelezo kidogo kuhusu nii kitu maana kwenye mojawapo ya posts kwenye thread za huyu kijana aliyekufa hivi karibuni kuna mtu kaandika kua alibugia "pombe ya kirusi"

  Jack Daniel's ni whisky ya Tennessee, marekani. (Usiichanganye na scotch whiskies, ambazo ndio nyingi kwenye market yetu)
  Inatengezwa tangu 1866 kwenye the oldest registered distillery in USA (kuna sehemu chache nyingine wanatengeneza siku hizi).
  Chupa yake ina lebo nyeusi yenye maandishi meupe yakiwa na font ya kizamani kidogo.
  Alcohol % ni 40
  Ukiinywa kwa kiasi si mbaya na inatoka mapema kichwani haitakupa hangover. Ukipitiliza hangover iko pale pale.

  Kwa maelezo zidi tembelea www.jackdaniels.com
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bado sijaona post ambayo haimtaji stivo...nna hamu yakuchangia mengi...anyways JD naipenda kwa kuiangalia tu...
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh naijua kwa jina tu
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Onja uione ladha yake. Marehemu alikua anajua kuchagua kinywaji chake japo nasikia kwenye intavyuu moja alikana kua anakunywa pombe
   
 5. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeona tangazo kubwa karibu na njia panda ya Oysterbay pale kona ya st Peters Ali Hassan Mwinyi Rd linasema, Jack Daniels live here.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wee ni marketing manager wa JD hapa Tanzania?
   
 7. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kongosho kwa majibu yako tu haujambo.
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mi siipendi hiyo, naipenda ile mtu anatembea!! napiga mambo yangu mpaka huyo mtu anasimama peke yake.
   
Loading...