Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Wakuu, kwa mjibu wa spika wa bunge letu, mzee JS Malecela kafanyiwa operation kubwa(moyo). Hali hii imesababisha mama Anne Kilango kutokuwepo mjengoni tangu awali. Tumwombee mzee wetu afya njema.
Unataka kujua wakazi huu wa ugonjwa au kama anaishi naye.Hivi ana miaka mingapi huyu mzee wetu? Na @NYC,USA yupo na babake?
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Duh hii nayo kali.umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Anatibiwa Marekani? Na kama sio marekani, huko aliko mkuu @NYC,USA ameambatana nae?Unataka kujua wakazi huu wa ugonjwa au kama anaishi naye.