Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Hajaiteka kiushawishi. Kaiteka negatively, kijinga jinga na kila mtu anamshangaaNa ndiyo maana nikauliza ni lazima atakuwa na ushawishi kwani haiwezekani akaiteka JF yote, kafunika mpaka habari za Tundu Lisu, JF yote yeye tu ndo ana trend, na ndo maana nikauliza!
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app