j/mosi njema

j/mosi njema

dhameery yusuph

Senior Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
163
Reaction score
30
Habari za asubuhi wapendwa?
Na mtanguliza mungu kwa kumshkuru kunipa pumzi mpaka mudaa huu nao toa salam kwenu
Sina budi kuwatakia weekend njema

*natafuta mchumba*
 
Utampata tu usikonde.
Angalizo: usiingilie anga zangu
 
Unataka mchumba wa kazi gani???
 
Ukienda msikitin na makanisani utampata
"Vox populi,Vox dei"
 
Last edited by a moderator:
haha, Arabela nashukuru kwa kumtia moyo, yuko serious kijana ndio hiyo anataka jiko amechoka kula kwa mama lishe, see if u can :help:
kuwa na subira utampata
 
Last edited by a moderator:
haha, Arabela nashukuru kwa kumtia moyo, yuko serious kijana ndio hiyo anataka jiko amechoka kula kwa mama lishe, see if u can :help:

hahaga asikate tamaaa
 
Last edited by a moderator:
Utapata wamejaa tele wewe tu unatakiwa uweke vigezo na masharti

Have a fantastic saturday
 
Back
Top Bottom