See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,815
Hahahaha We JMAsante
Nahakikisha nitazid kutoa nyimbo kali na nzuri zaidi
Turia nasema Kaa chini
Hahahaha We JMAsante
Nahakikisha nitazid kutoa nyimbo kali na nzuri zaidi
Turia nasema Kaa chini
😅😅😅 ndani ya nyumba mengine kama suprise tuUshamshirikisha To yeye ?au umejiamulia mwenyewe
😅😅 muache tu ... anaruka maji anata kukanyaga nyaaa.. nampa raha zotee.. sema ndio ivyo hamujui munataka nini tu🤣🤣🤣🤣🤣Nakushauri ubaki na National Anthem huyo mzabzab ana harakati Kama Dr Pimbi yaani
Wazungu, waarabu ni weusi...Aaah!! Sasa mwanaume unakuwaje mweupe😳😳😳
Nivumilie, kuchepuka nisha acha ☺️☺️🤣🤣🤗 Afu nilimchagua yeye pekee katika wengi....😢ngoja nirudi Kwa mzabzab tu....
😅😅😅 asie sikia la mkuu huvunjika guu🤣🤣🤣🤣Mimi nishamshauri akikaidi Shauri yake kitamkuta kitu
Nakupenda ivoivo....wewe pamoja na michepuko yako😋Nivumilie, kuchepuka nisha acha ☺️☺️
View attachment 2588721
View attachment 2588723
View attachment 2588724
Nammudu vizuri kabisaa 🤣🤣Utaleta balaa
Kwa nyie mnaowafia zaidiWanadanganya,hamna wakaka wanawakula wadada kimasihara Kama hao mahandsome weupe,Tena Ni mkopo fasta tu
Ila ai mmekubaliana umpe mapacha au 😏😏🤣 Kwani mzabzab namtaka sasa🙄.....najikaza tu Ili siku ziende😥
Daaah, 💕 nyashinski...... Asante National AnthemNivumilie, kuchepuka nisha acha ☺️☺️
View attachment 2588721
View attachment 2588723
View attachment 2588724
Achana nae huyo😏Ila ai mmekubaliana umpe mapacha au 😏😏
Ume mugeuka tayari 🥸🥸🥸Achana nae huyo😏
Sijawahi mtaka......he knows that tooUme mugeuka tayari 🥸🥸🥸
Kweli hamujui mna taka nini..
Naaminije 🤨🤨🤨Sijawahi mtaka......he knows that too