Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
kwanza wanajifanya wajuaji wa kila kitu, ni masshabiki wa ngono, ni wapiga simu usiku kucha badala ya kujisomea, ni wacheza disco weekend ni kujirusha tu, ukifundishwa hataki kurudia kusoma na kuelewa zaidi kile alichofundishwa na mwl.; hawana personal nidhamu, ni wavivu na wanapenda kuchati usiku kucha, hawana walimu, hawana vitabu, hawana madarasa, wengine ni mbulula kabisa hawakutakiwa kuwa darasani wameburuzwa tu kufika huko kujaza madarasa ya kata.
pili: wazai tatizo
tatu: serkali tatizo
asante mkuu,hali inatisha sana sababu ata wanaomaliza darasa la saba awajui kusoma na kuandika,aya mambo ayakuwepo miaka ya 90 na 2000 mwanzon,na kurisit ni ngumu kufaulu siku hizi,awa watoto sijui watapelekwa wap? nazungumzia watoto wa kimaskin na familia za kati