J. M. Kikwete Sec School - Matokeo 2012 CSEE

J. M. Kikwete Sec School - Matokeo 2012 CSEE

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
haya ndio matokeo ya mwaka huu
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361210994191.jpg
    uploadfromtaptalk1361210994191.jpg
    62.8 KB · Views: 2,979
Heading umeandika J K Nyerere halafu picha yako inaonyesha J M Kikwete Secondary. We vipi ndugu?
 
[h=3]s4914 membe secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 3 fld = 19[/h]
[h=3]s4915 dr john samwel malecela secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 7 fld = 32[/h]

[h=3]s0960 benjamin william mkapa high school
[/h][h=3]div-i = 2 div-ii = 32 div-iii = 41 div-iv = 188 fld = 199[/h]

[h=3]s1803 lowassa secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 9 div-iv = 51 fld = 131[/h]

[h=3]s3489 sumaye secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld = 49[/h]

[h=3]s3356 fundikira secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 25 fld = 110[/h]

[h=3]s4416 mizengo pinda secondary schoool
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 11 fld = 47[/h]

[h=3]s4509 dr. Wilbroad slaa secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 17 fld = 22[/h]

[h=3]0740 ali hassan mwinyi secondary school centre
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 28 fld = 91[/h]
 
Iko wapi hiyo shule? ya kata? serikali au private?
 
Heading umeandika J K Nyerere halafu picha yako inaonyesha J M Kikwete Secondary. We vipi ndugu?

Kuna uwezekano ulikuwa unamwota Nyerere mbona wengine tunaona heading iko poa au ameedit, lakini any way watu wanatafuta sifa kwa nguvu wanaambulia aibu tupu, tusubiri Salma K. Sec nayo tuone si wanataka tuendelee kuwakumbuka kana kwamba hayo maeneo zilipo hizo shule hayana majina hadi wapewe wao. Shameless leaders of 2day
 
Kuna uwezekano ulikuwa unamwota Nyerere mbona wengine tunaona heading iko poa au ameedit, lakini any way watu wanatafuta sifa kwa nguvu wanaambulia aibu tupu, tusubiri Salma K. Sec nayo tuone si wanataka tuendelee kuwakumbuka kana kwamba hayo maeneo zilipo hizo shule hayana majina hadi wapewe wao. Shameless leaders of 2day

hahaahah mtoto alipata zero,leo shule yenye jina lake matokeo ndio hayo,mwingine alikamatwa na madawa ya kulevya huko China,yeye mwenyewe muda mwingi yupo angani(leo sijui yupo nchi gan),huku tunagombania gesi na mafuta,huku tunagombania muungano,huku udini, duh!!! kweli tuna bonge la rais
 
hahahaha hayo matokeo yamenichekesha sana aisee bora hizo shule waziite mabonde kwinama sec school kwikwikwikwi.

naomba unisaidie maana ya 'kusadifu', au labda haya matokeo ndio maana ya 'dhaifu'.
 
mbona wanafunz wanafeli sana siku hizi?
kwanza wanajifanya wajuaji wa kila kitu, ni masshabiki wa ngono, ni wapiga simu usiku kucha badala ya kujisomea, ni wacheza disco weekend ni kujirusha tu, ukifundishwa hataki kurudia kusoma na kuelewa zaidi kile alichofundishwa na mwl.; hawana personal nidhamu, ni wavivu na wanapenda kuchati usiku kucha, hawana walimu, hawana vitabu, hawana madarasa, wengine ni mbulula kabisa hawakutakiwa kuwa darasani wameburuzwa tu kufika huko kujaza madarasa ya kata.

pili: wazai tatizo

tatu: serkali tatizo
 
Back
Top Bottom