Umetafsiri vibaya kwa sababu Mwinyi, Mkapa, na Vasco wote walikuwa ni maraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa vipindi viwili vya miaka 10 hawana sifa kumbuka hawakuwa maraisi wa Tanzania bara(haijawahi kuwepo) walio na sifa za kugombea urais wa muungano ni Karume, Salmini(komandoo) na Aboud Jumbe Mwinyi maana hawa walikuwa maraisi wa SMZ na sio wa muungano!!Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?
SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
SERIKALI, RAIS NA MAKAMU WA RAIS
Haki ya
kuchaguli
wa tena
76
.-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti
hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.
Naendele kupitia vifungu vingine.
Hata John Samuel Cigwiyemisi MalecelaJM Kikwete, BW Mkapa, AH Mwinyi waliwahi kuwa MARAIS wa JMT hivyo hawawezi kugombea tena kiti hicho. Wanaoweza kugombea kiti cha URAIS wa JMT ni Salmin Amour, Amani Karume, Mohammed Shein.
.
sasa naanza kuelewa lipumba alikuwa anamaanisha nini kuhusu jk kujiongezea muda wa kutawala
Someni vizuri jamani mbona mnatia aibu great sinkers
hizo ndo style za akina netanyahoo na putin.Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?
SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
SERIKALI, RAIS NA MAKAMU WA RAIS
Haki ya
kuchaguli
wa tena
76
.-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti
hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.
Naendele kupitia vifungu vingine.
sasa naanza kuelewa lipumba alikuwa anamaanisha nini kuhusu jk kujiongezea muda wa kutawala
sasa naanza kuelewa lipumba alikuwa anamaanisha nini kuhusu jk kujiongezea muda wa kutawala
umetafsiri vibaya kwa sababu mwinyi, mkapa, na vasco wote walikuwa ni maraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa vipindi viwili vya miaka 10 hawana sifa kumbuka hawakuwa maraisi wa tanzania bara(haijawahi kuwepo) walio na sifa za kugombea urais wa muungano ni karume, salmini(komandoo) na aboud jumbe mwinyi maana hawa walikuwa maraisi wa smz na sio wa muungano!!
Kila nikisikia jina Lipumba mwili unatetemeka, mdini huyu sijui kwanini tunamtaja
JM Kikwete, BW Mkapa, AH Mwinyi waliwahi kuwa MARAIS wa JMT hivyo hawawezi kugombea tena kiti hicho. Wanaoweza kugombea kiti cha URAIS wa JMT ni Salmin Amour, Amani Karume, Mohammed Shein.
Labda tusubiri Katiba ya Tanganyika/Tanzania Bara huenda inaweza kuwapa nafasi ya kugombea URAIS wa Tanganyika/Tanzania bara maana hawajawahi kuwa MARAIS Wa Tanganyika/Tanzania Bara.
lazima umuogope dume la mbegu. Rais wa tanzania mwaka 2015 hadi 2020