J.M.Kikwete, B.W.Mkapa, A.H.Mwinyi ni ruksa kugombea Uras wa Muungano Kwenye muundo wa Serikali 3

Mkenazi

Senior Member
Apr 11, 2011
124
43
Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?

SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA​

SERIKALI
, RAIS NA MAKAMU WA RAIS

Haki ya
kuchaguli
wa tena

76
.-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti

hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.

Naendele kupitia vifungu vingine.
 
JM Kikwete, BW Mkapa, AH Mwinyi waliwahi kuwa MARAIS wa JMT hivyo hawawezi kugombea tena kiti hicho. Wanaoweza kugombea kiti cha URAIS wa JMT ni Salmin Amour, Amani Karume, Mohammed Shein.

Labda tusubiri Katiba ya Tanganyika/Tanzania Bara huenda inaweza kuwapa nafasi ya kugombea URAIS wa Tanganyika/Tanzania bara maana hawajawahi kuwa MARAIS Wa Tanganyika/Tanzania Bara.
 
duh,kwa tafsiri gani ya sheria uliyotumia?kati ya hao uliowataja kuna marais wa Tanganyika?
 
Hiyo katiba nilianza kuota tangu siku nyingi kama chama chetu kinataka kuikumbatia kama mwanzo unavyojionyesha sasa, TUTAPATA KATIBA MBAYA KULIKO HII TULIONAYO.
Hii ni kwa kuangalia katika mtizamo wa wavujajasho ila kwa wale mihimili wao ndio pepo ya duniani itaendelea milele
 
Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?

SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA​

SERIKALI
, RAIS NA MAKAMU WA RAIS

Haki ya
kuchaguli
wa tena

76
.-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti

hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.

Naendele kupitia vifungu vingine.
Umetafsiri vibaya kwa sababu Mwinyi, Mkapa, na Vasco wote walikuwa ni maraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa vipindi viwili vya miaka 10 hawana sifa kumbuka hawakuwa maraisi wa Tanzania bara(haijawahi kuwepo) walio na sifa za kugombea urais wa muungano ni Karume, Salmini(komandoo) na Aboud Jumbe Mwinyi maana hawa walikuwa maraisi wa SMZ na sio wa muungano!!
 
Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?

SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA​

SERIKALI
, RAIS NA MAKAMU WA RAIS

Haki ya
kuchaguli
wa tena

76
.-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti

hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.

Naendele kupitia vifungu vingine.
hizo ndo style za akina netanyahoo na putin.

Leo ni waziri mkuu,kesho rais ,keshokutwa waziri mkuu.mtondogoo rais tena.
Tutarajie benjamini mkapa kupeperusha bendera 2015
 
umetafsiri vibaya kwa sababu mwinyi, mkapa, na vasco wote walikuwa ni maraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa vipindi viwili vya miaka 10 hawana sifa kumbuka hawakuwa maraisi wa tanzania bara(haijawahi kuwepo) walio na sifa za kugombea urais wa muungano ni karume, salmini(komandoo) na aboud jumbe mwinyi maana hawa walikuwa maraisi wa smz na sio wa muungano!!

uko sahihi kabisa. Wengine wanabwabwaja.
 
Kusoma kazi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
JM Kikwete, BW Mkapa, AH Mwinyi waliwahi kuwa MARAIS wa JMT hivyo hawawezi kugombea tena kiti hicho. Wanaoweza kugombea kiti cha URAIS wa JMT ni Salmin Amour, Amani Karume, Mohammed Shein.

Labda tusubiri Katiba ya Tanganyika/Tanzania Bara huenda inaweza kuwapa nafasi ya kugombea URAIS wa Tanganyika/Tanzania bara maana hawajawahi kuwa MARAIS Wa Tanganyika/Tanzania Bara.

Sheria inapotungwa huwa inaanza kutumika siku hiyo na kuendelea. Huwa haingalii nyuma. Kwahyo basi ni ruksa Mkapa, JK, mwinyi kugombea tena.
 
Yani gazeti la jambo leo kweli wamedhibitisha waandishi na wahariri wake ni makanjanja wametoa front page MKAPA na MWINYI ruksa kugombea wakati hiyo Ibara inatoa nafasi kwa Rais wa Zanzibar na Rais wa Bara(atakeyekuja baada ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika) hivi kweli mhariri wa hilo gazeti ana uwezo mdogo wa ufahamu kiasi icho halafu unanishawishi ninunue hiyo takataka JAMBO LEO.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom