caine
JF-Expert Member
- Jul 4, 2015
- 629
- 1,442
Album imeachiwa tarehe 20 april 2018. Kama tayari umesha isikiliza karibu tufanye review ya hii album. Ni moja kati ya album kali nilizo sikiliza mwaka huu mpaka sasa hivi.
Track list:
My best track is BRACKET. Humu jamaa ameongelea jinsi wanavyokatwa kodi kubwa na matumizi mabovu ya fedha za walipa kodi.
Karibuni tuendelee na uchambuzi wa track zingine kwenye hii album kali kabisa kwa mwaka huu.

mzee wa kimya kimya
utamkuta...!!