Iyunga, Mbeya: Ajali ya gari la Polisi (FFU)! Wawili wafariki dunia na tisa wajeruhiwa

siyo kwamba watu wansfurahia vifo vyenu Bali wanawakumbusha tu Sote tutaenda chini hivyo watendeeni mema RAIA
Kutokana na uhalisia WA kazi unataka polisi polisi wakifanya kazi zao Kama raia wanavotaka itakua tena sio polisi sharia inakukataza usiibe ww unategemea polisi aje akuombe uache wizi anafuata tu sharia inasemaje kwaiyo usione ajabu wao wanafanya kazi kwa kufuata sharia za nchi inasemaje R I P comred, mungu awaponye majerui wapone kwa haraka nakuendelea na majukumu yao yakulijenga taifa letu
 
Na wao ndo wajue kama kifo kipo, binafsi nilishuhudia tukio la kupigwa kwa walemavu katikati ya jiji LA Dar tena bila ya hatia, na mengine mengi ya dhuruma wanayoyafanya hawa jamaa, ni bora wangefariki tu gari zima, ingawaje hata Mimi pia nitakufa
 
Pametokea vifo vya askari wawili katika ajali wakati wanakwenda lindoni huko.Naomba kwanza nitoe pole kwa jeshi la Polisi na pia familia zao na Watanzania wote.
Kwa siku za karibuni jeshi la Polisi limekubwa na kupagawa (Hysteria).
Ukiwaangalia askari wakienda lindo nikama wanakwenda vitani,mwendo wa kasi,vidole kwenye trigger!!
tunajua kuwa kuna mambo yaliyotokea KIbiti lakini pia kuna utaalamu wa kutathmini hali ya usalama.
Si kila wakati tunaziweka akili zetu kwenye vita na hofu.
kupagawa kwingine ni hili linalolalamikiwa wa kulegeza nut (vipigo n.k) ambalo watu wamelalamikia kiasi.Hili nalo si sahihi na hata hao tunaowafuata walitumia sana lakini si katika vitu vidogo vidogo.
Tujisahihishe,tupunguze silaha hadharani na pia tupunguze hali ya kuonekana kuna dharura kila wakati.
 
Ukiona askari wapo mbio ujue wanawahi kwenye tukio,na si matukio yote Raia uyafahamu
Ffu mara nyingi wanatawanywa kwa kutumia magari yao,askari wa kawaida mara nyingi wanapata usafiri toka benki au kama lindo sio mbali na kituo wanatembea kwa miguu
Usisingizie polisi wetu,poleni kwa wafiwa
 
Kutokana na uhalisia WA kazi unataka polisi polisi wakifanya kazi zao Kama raia wanavotaka itakua tena sio polisi sharia inakukataza usiibe ww unategemea polisi aje akuombe uache wizi anafuata tu sharia inasemaje kwaiyo usione ajabu wao wanafanya kazi kwa kufuata sharia za nchi inasemaje R I P comred, mungu awaponye majerui wapone kwa haraka nakuendelea na majukumu yao yakulijenga taifa letu
Hii siyo sababu ya Polisi kuchukiwa Comred, labda kama unataka kufurahisha jamvi tu. Sababu ziko wazi sana.
 
Ukiona askari wapo mbio ujue wanawahi kwenye tukio,na si matukio yote Raia uyafahamu
Ffu mara nyingi wanatawanywa kwa kutumia magari yao,askari wa kawaida mara nyingi wanapata usafiri toka benki au kama lindo sio mbali na kituo wanatembea kwa miguu
Usisingizie polisi wetu,poleni kwa wafiwa
Hivi umemuelewa mleta mada kweli? Au umejiongelea tu kiutani utani?
 
ASKARI WALISHAAMUA KUWATUMIKIA CCM BADALA YA WANANCHI.NDIO MAANA NA SISI HUWA TUNAWATAZAMA TU WAFANYE WATAKAVYO ILA WASISAHAU KUWA WANAISHI NASI KATIKA MAISHA YA KAWAIDA
Hivi kila thread lazima CCM na Chadema itajwe?
 
R.I.P ugueni pole wote mliopata majeruhi...ila jaman si polis wote wabaya. Kuna polis wachache ndo wanaofanya watu walichukie jeshi la polis. Jaman tusiwaombee mabaya polis wetu.
Wote wale wale....acheni wafu wazike wafu wao
(nimenukuhu kutoka biblia takatifu...sasa waje wasiojua maandiko wanitolee povu)

pole kwa wanafamilia waliopoteza ndugu zao.
 
ASKARI WALISHAAMUA KUWATUMIKIA CCM BADALA YA WANANCHI.NDIO MAANA NA SISI HUWA TUNAWATAZAMA TU WAFANYE WATAKAVYO ILA WASISAHAU KUWA WANAISHI NASI KATIKA MAISHA YA KAWAIDA

askari aamui,anaamrishwa na uaskari ni amri sio ombi....
chama kitakachoshika dola,ndio bosi wa askari/majeshi yote ya ulinzi na usalama..
hakunaga kumjeulia bosi wako wa kipindi husika...
tusijikalillshe sana kuwalaumu polisi na mfumo, uliopo...
 
Pametokea vifo vya askari wawili katika ajali wakati wanakwenda lindoni huko.Naomba kwanza nitoe pole kwa jeshi la Polisi na pia familia zao na Watanzania wote.
Kwa siku za karibuni jeshi la Polisi limekubwa na kupagawa (Hysteria).
Ukiwaangalia askari wakienda lindo nikama wanakwenda vitani,mwendo wa kasi,vidole kwenye trigger!!
tunajua kuwa kuna mambo yaliyotokea KIbiti lakini pia kuna utaalamu wa kutathmini hali ya usalama.
Si kila wakati tunaziweka akili zetu kwenye vita na hofu.
kupagawa kwingine ni hili linalolalamikiwa wa kulegeza nut (vipigo n.k) ambalo watu wamelalamikia kiasi.Hili nalo si sahihi na hata hao tunaowafuata walitumia sana lakini si katika vitu vidogo vidogo.
Tujisahihishe,tupunguze silaha hadharani na pia tupunguze hali ya kuonekana kuna dharura kila wakati.
Kulitokea nini huko Mbeya? Thread yako umeiandika kwa kuweka tathmini yako ya tukio kiasi kwamba mimi ambaye sikuwepo sikuelewi.
 
Hivi kila thread lazima CCM na Chadema itajwe?
Tatizo ni askari kuwa active dhidi ya kila mivement ya upande mmoja huku wakifumbia macho upandw mwingine. Jambo hili si zuri kwa afya ya taifa.
Iddi Aman hatukumpiga sababu ya eti tuna jeshi imara, tulimpiga sababu wananchi wake waligawanyika sana na hivyo kuwachukulia maadui (Tanzania) kama wakombozi wao.
 
askari aamui,anaamrishwa na uaskari ni amri sio ombi....
chama kitakachoshika dola,ndio bosi wa askari/majeshi yote ya ulinzi na usalama..
hakunaga kumjeulia bosi wako wa kipindi husika...
tusijikalillshe sana kuwalaumu polisi na mfumo, uliopo...
Chama cha siasa hakimuamuru askali,askali anaamrishwa na askari wa juu yake.
 
Wao mwendo mkali ruksa sisi tukienda mwendo mkali fine. Sasa nasema wafe na binafsi nimefurahia Sana hii ajali Ili waweze kujirekebisha.
 
Zamaaani mwanafunzi mmoja wa IYUNGA SEC alikufa baada ya kutokea mgomo shuleni na ilisemekana alikufa baada ya......
 
Chama cha siasa hakimuamuru askali,askali anaamrishwa na askari wa juu yake.

mkuu jiongeze kufahamu kitu inaitwa system kwenye utawala ndio utanielewa...
chama cha siasa kinachoshikilia dola{nielewe hapa}...
huyo askari wa juu anaetoa amri kwa askari wa chini nae anapokea amri.!!!.fuatilia sasa hiyo chain of command utaiona imefikia wapi..?
mfn:mikutano ya kisiasa na kinachoendelea..
 
Hiyo chain ukiifuata unafikia pale ambapo askari anasahau majukumu yake na hayatekelezi zaidi zaidi anafuata maagizo na maigizo ya kisiasa.
Angetimiza wajibu wake aliotakiwa autekeleze asingefikia hatua ya ku implement mambo ambayo sio wajibu wala majukumu yake.
Afanye kazi yake anayotakiwa kuifanya na asimamie haki
 
Shida ya akili za maaskari wengi wa Jeshi la Polisi utafikiri wamezaliwa baba mmoja mama mmoja..

Mwendo wa kasi namna hiyo wa nini??

Anyway pole kwa wafiwa.

Kwa Askari walioaga dunia, Mungu akawahukumu kutokana na mlivyotenda hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom