Iyo ft Diamond Platnumz loving you

Iyo ft Diamond Platnumz loving you

ni nzuri ila diamond ameimba kidogo mno! angetia njonjo pakubwa kama ile aliyofanya na AKA
 
Wasanii wenye akili katika kolabo na watu huwa hawaangalii mkwanja tu.. Na heshima ya jina lake pia! Inachukua mda mref sana kujenga jina lakin kulibomoa ni dakika moja tuu.. Anyway, wimbo mbaya
 
Wasanii wenye akili katika kolabo na watu huwa hawaangalii mkwanja tu.. Na heshima ya jina lake pia! Inachukua mda mref sana kujenga jina lakin kulibomoa ni dakika moja tuu.. Anyway, wimbo mbaya

Mkwanja ndio unaleta heshima, sio kanzu na kibharagashia
 
Mbona wimbo wenyewe mbovu kama sehemu za siri za malaya?!
 
Mbona wimbo wenyewe mbovu kama sehemu za siri za malaya?!

Duh maneno ya kizaramo hayo! Nasikia wazaramo walimsema jirani yao mpaka kafa. Nyi watu kiboko.
 
Wimbo uko poa sana,
ngoja nikaudownload niuskize for the festi taim
 
Back
Top Bottom