Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,170
- 4,582
Nadhani hili ndio jibu bora kwa sasa.DC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi.
Uzi ufungwe. Umemaliza kila kituDC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.
Dc ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilayaDC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.
Anaeteuliwa toka upinzani je? Kama kusilimishwa kupo basi na uanachama wa CCM unaanzia hapo hakuna dhambi ukikubali uteuzi unakubali na uaccmDc ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilaya
Wanachaguliwa wanaccm ili wakisaidie chama chao kuratibu wizi wa kura wakati wa chaguzi mbali mbaliDC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.
Mjumbe wa kamati ya ulinzi wa wilaya.Dc ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilaya
Inakiwaje Mwalimu awe kada wakati watumishi wa umma sio wanasiasa?Mjumbe wa kamati ya ulinzi wa wilaya.
Kama wanaingia kwenye mikutano ya CCM wanaingia kama makada tu.
Ni jambo ambalo katiba mpya lazima waliangalie linaondoa efficiency serikalini maana unatumika muda mwingi kuwafundisha kazi.Wanachaguliwa wanaccm ili wakisaidie chama chao kuratibu wizi wa kura wakati wa chaguzi mbali mbali
Mkuu wa wilaya ni katibu wa ccm wa wilaya? We akili umeziacha wapi? Karudi ulipoziacha zikurudi. Mkuu wa wilaya ni mtumishi wa umma km mwalimu, umesikia we mhitimu wa st. Kayumba?Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake...
Hayo sasa umesema wewe hakuna sehemu kwenye majukumu ya DC kuudhuria vikao vya CCM, hiko kitu hakipo.Inakiwaje Mwalimu awe kada wakati watumishi wa umma sio wanasiasa?
Mbona unapoteza muda kupost upuuzi?Mkuu wa wilaya ni katibu wa ccm wa wilaya? We akili umeziacha wapi? Karudi ulipoziacha zikurudi. Mkuu wa wilaya ni mtumishi wa umma km mwalimu, umesikia we mhitimu wa st. Kayumba?
Kumbe hujui kitu DC sio cheo cha kisiasa? Rudi darasani.DC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.