ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,713
- 57,235
Yaani unadate na mtu aliyetumika kukuliko???never labda kupiga tu accidentally..ila kuishi naye pika paKua NO
Wewe ndio unaelewaSisi ndo raha zaidi....ukitaka chochote unapewa huulizwi ulizwi mara mbilimbili...raha tupu yaani...ukitaka ukajisokote vibia 50k ya fasta fasta hii hapa!..achana na maokoto mengine hayo ni Constant kama pie22/7.
Kwahiyo unataka nimtengeneze mtu wangu sio?Yaani unadate na mtu aliyetumika kukuliko???never labda kupiga tu accidentally..ila kuishi naye pika paKua NO
auntie una sehemu yako mbinguni....Sisi ndo raha zaidi....ukitaka chochote unapewa huulizwi ulizwi mara mbilimbili...raha tupu yaani...ukitaka ukajisokote vibia 50k ya fasta fasta hii hapa!..achana na maokoto mengine hayo ni Constant kama pie22/7.