Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

Mazuri yoote ya MAGUFULI mfano UWAJIBIKAJI,msimamo yanafutwa na machache ya kikinga
wasiojulikana kuteka,kutesa,kupoteza watu Ni hapo TU yanafuta mema yote
 
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.

Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mtajuana wenyewe, dadeeeeki huu ni mwanzo tu
 
Magufuli hakuwa kiongozi muadilifu, labda kama hujui maana ya uadilifu.
pe Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.

Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Sema ataomba msamaha kwenye vyombo vya dola maana çcm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichovaa koti la chama cha siasa.
acha ijivunie kwani ilipambana kuleta uhuru
 
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.

Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ni wapi alipotaja majina huyo Nape?acheni kuendeshwa kihisia nyie waChato
 
hadi leo huwa sijui kwanini happi bado yupo kwenye hii serikali. huwa sielewi kabisa kwasababu wenzake wote walishadondokea pua. kwa kiburi kile cha kumkemea JK hadharani na kumtishia kumshughulikia? kitoto kidogo kama kile kinamtishia Rais Mstaafu aliyetawala nchi kwa miaka 10. just imagine.huwa hata sielewi.
Nadhani anatafutiwa timing tu na akiliwa kichwa ataliwa jumla kuliko Chalamila.
 
Gaidi wenu alihusika sana yaani aliteka ili Magufuli aonekane mbaya
Kumbe Magufuli madaraka yake yalikuwa kama ya Mwenyekiti wa kitongoji. Unamdanganya Nani au unajidanganya mwenyewe?? Muuaji ataendelea kutambulika kwa jina hilo maana mlimsifu kwamba anaua wanaokwamisha maendeleo.
 
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.

Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ila kwa sababu ya kiburi chao atadharau
 
Jingalao; Kuna sababu Kwa nini Nape alitumia g ndogo Kwenye neno godfather Na sio G - Kubwa.
 
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.

Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hio siko mkihoji ndo mtaajua kua covid 19, haikua niporojo watu walikufa kweli
 
sasa naelewa kwanini alitaka kutandikwa risasi siku ile.

huyu jamaa mpuuzi sana.
 
Mpaka Nape anajimwambafy hadharani vile ujue mipango ishasukwa ya kuwalinda. Hao kina slow slow ni kama mende tu.
 
Back
Top Bottom