Iwafikie Kidato cha Sita na wenye Stashahada wote wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu mwaka wa masomo 2020/2021

Dec 23, 2016
31
69
Ni ukweli usiopingika kua. Wengi hupata shida katika kufanya maamuzi juu ya kuchagua course ya kusoma na vyuo vya kuomba.

Zipo sababu nyingi ambazo unapaswa kuziangalia kabla yakuchagua chuo na course ya kusoma.

Hata hivyo sababu hizo hazifanani kulingana na miaka na mtu husika. Zamani (kabla ya 2015) wengi walikua wanaangalia mkopo Kama sababu kuu, hasa ukilinganisha kua vijana wengi wanatokea familia zaUuchumi wa chini.

Hii iliwasababisha wengi kujikuta wakiangukia kwenye course wasiozipenda au ambazo zilikua si ndoto zao.
Zipo sababu nyingine pia lakini ukweli mi kua sababu hizo ni "imaterial" kwa wakati tulionao Sasa. Mambo yamebadilika.
Nina mengi sana yakukushauri Kama kijana mwenzako niliopita hatua unazoenda kuzipitia wakati huu. Ni muhitimu kutoka chuo kikuu Cha Dar es Salaam, Mlimani cumpus.

Kwa msaada juu ya namna yakufanya application za vyuo, na vitu vyakuzingatia wakati wakuchagua course na chuo kulingana na sofa ulizonazo, usisite kunitafuta kijana mwenzako.
Ninatoa pia huduma "kukufanyia maombi" pakitokea uhitaji huo.
Karibu sana

Simu
0745 624 754 (normal calls na WhatsApp)
Email
mfaumehassan@gmail.com
 
Hahahha.....kwann usingeweka mambo yote hadharani tu kama kweli unania ya kusaidia
 
Back
Top Bottom