Ivi ulishawahiona hii?

Slave ni kuwa Nyetk anajua kabisa na sie ni mabingwa kama alivyo yeye; lamaana nimeona hilo wowowo liko kwenye utajiri mkubwa wa mafuta japo huko pembeni kama akina libya kunachanika kwa kuwa mzee obama naye anayataka hayo hayo mafuel.

Somalia na Ethiopia mrembo kajificha kabisa kwani hata pa kupumulia hamna kila kukikicha ni kacheche.

congo ni vita ndo maana pamechanika na alama ya damu ipo.

nawasilisha.

dah! Kweli wewe Nyetk ni art mkali heko kwa definition ila hapo chini ulivyo nipanga mie na Mamndenyi umenitafutia ugomvi naomba uniombee msamaha kwa Vin Diesel la sivyo leo nitauwawa
 

Nimeipenda hiyo!
 
dah! Kweli wewe Nyetk ni art mkali heko kwa definition ila hapo chini ulivyo nipanga mie na Mamndenyi umenitafutia ugomvi naomba uniombee msamaha kwa Vin Diesel la sivyo leo nitauwawa


Hiyo ndoa haitadumu! Bado mpo kwenye "honey-moon" tayari hamuaminiani? You made a wrong choice, I bet, hahahahaha! Tutakuja na Mamndenyi kuwapatanisha.
 
Last edited by a moderator:

Umenikuna hapo kwenye interpretation ya wowowo! Mi nilikuwa naogopa kuiangalia.
 
Nyetk dah aise hii mbaya sana, hivi najiachia hivi humu jamvini kumbe niko na maanti zangu humu,
eeee bana eee, nitabadilika, tena uliyoyasoma naomba uyasahau yote, ok nyetik?.

Ndo maana yake.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…