ivi ninaweza fanya hivi

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
kudownload muv kupitia yale ma proxy yetu na kama ndio embu mni pm watu wangu itakuwa poa ahsanteni saaaaana
 
kudownload muv kupitia yale ma proxy yetu na kama ndio embu mni pm watu wangu itakuwa poa ahsanteni saaaaana

PD proxy inaperfom kila sector!!
Ila kupitia yale matundu mengine kaazi kweli kweli ingawa Idm inakamua kama utaiset kwa zile formula zetu tatyzo Muvee nyingi Mpaka kwa torrent wakati maproxy yanagoma torrent download,Hata kulogin yahooh nayo nishughuli.
Wachawi mwageni ***** hapa nasi tupone
 
Back
Top Bottom