comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Watu wengi tunaanzisha thread tofauti tofauti swali langu Leo ivi ni Uzi/thread gani ulipata comment nyingi na IPI ulipata comment chache unaweza kutupa sababu kwanini zilikuwa chache na kwanini nyingine ulipata comment nyingi????????