Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo kwenye utafiti.

Hata unapokumbatian na mtu yeyot unapasw ufumbe macho,kwan ndio hisia na uzito w jamb huingia akilin,sio unakura denda huk unatathmn room ya jamaa how comez

Kabila na hayo mashudu yaliyofuata vinahusiana vipi?!
Mhhh!!!!!

Umenifanya nimemshitua mai waifu wangu kwa kicheko. Alikuwa amepitiwa na kausingizi kauchovu wa hili tumbo lake la miezi kumi kasoro... Nimembembeleza kalala tena..!!